Serikali iwaache wanawake wajiuze? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iwaache wanawake wajiuze?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Djunior, Oct 22, 2010.

 1. Djunior

  Djunior Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wanajamii, naleta kwenu malalamiko yangu kwa masikitiko makubwa, kuhusu hawa dada zetu wanaojiuza nyakati za usiku. Upelelezi wangu umekamilika ndio maana naleta hoja,hapa Tanga nimejaribu kumhoji dada mmoja ambaye hujishuhulisha na kazi hiyo. Na nilipo muuliza kwa nini anajiuza kwanza alisema kutokana na ugumu wa maisha na pili alielekeza kiliochake kwa serikali kuwa haiwajali na Mh Kikwete alitoa fungu la pesa lililoitwa tajirika na Kikwete pesa za mkopo matokeo yake ziliishia kwa wakinamama wenye uweza na wao kubaki bila kitu. Akasema wanaomba kama serikali imeshindwa kuwapa mikopo nafuu iwaruhusu kufanya kazi yao ya kujiuza. Kwenu wanajamii, tuishauri nini serikali.
   
Loading...