Wadau JF!
Naomba sehemu ya sheria za nchi+TRA zinawahusu(zinazofafanua utaratibu mzima) wale(hasa wanafunzi) wanaopaswa kupatiwa msamaha wa kodi, pindi wanapoingiza vitu vyao nchini.
Natanguliza shukrani.
Octoba, 31 tujitokeze kwa wingi pia, kufanya kweli.