MGAO wa UMEME

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,556
29,645
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.

I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.

Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu
 
Hiyo kwenye red hata mimi nahisi kuna uwoga wa aina hiyo...Funika kombe mwanaharamu apite!

wanadhibiti tusione mahojiano ya Mr .Prezidenti
Hawawezi kuwahi, maana kuna watu mpaka muda huu tunaongea wamesahanunua jenereta ndogo ya mchina inayouzwa 120,000/= ili wasikose kitu!
 
awataweza japo watawakosesha wengi wasio na uwezo wa jenereta ila wanaoonyesha video itabidi ratiba zibadilike waonyeshe
 
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.

I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.

Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu

Naona Tanesco inatumika kuzuia uchaguzi wa haki. Na hizi ni dalili za kuzimwa umeme katika uhesabuji wa kura ili kutimiza wizi wao.
 
Tuna shida kubwa Tanzania.
Heshima ya uoga itatuponza walah.
Nimepata taarifa mbalimbali za mikoani kwamba kuna unexpected power shortage past week sasa.
Tunajua maji ardhini yamepungua ila tulishaahidiwa kwamba hatutaingia kwenye mgao mwingine wa umeme.
CCM wanatufanya majuha hamnazo kweli kweli.

Tunakiweka chama chenye kuonesha kujali shida na hali zetu
 
TUANDAE TAA ZA CHEMLI ILI WASIJE TUIBIA KURA ZETU... HAWA WATU HAWAFAI KABISA::; :frusty:
 
Siku ya uchaguzi kuna haja ya kwenda na chemli jamaa watakata umeme hawa hawana haya as walifanya ivyo Mbalizi
 
Lakini wametangaza juzijuiz hapa kuwa mwaka huu hakutakuwa na mgawo... au ilikuwa wanaanza kujitetea kabla hawajasomewa mashitaka!
 
Kwa taarifa rasmi nilizozipata : Mgao wa Umeme wa 16hrs per day upo karibu : Yale "mabwawa" yanakaribia kukauka!
 
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.

I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.

Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu

Duh kweli umedhihirisha kuwa watanzania hawana akili maana mpaka watangaziwe ilhali uhalisi wanauona. Nimeipenda sana hii habari safi sana mkuu maana hata wewe unahisi tu kama wanavyohisi wengine Chadema watashinda Urahisi.
 
Wakizima umeme, wenye Video show za movie, mipira wanaonyesha Dr Slaa bure kwa generator. Ujumbe utafika. Kuna maeneo ya wazi watu waweke TV kubwa, mikoani nashauri hivyo hivyo, kama kuna uwezekano wa kuweka TV kubwa kwenye maeneo ya wazi mikoani wekeni hiyo kazi ya wagombea ubunge na udiwani kumobilize inshu.
 
Kwa taarifa rasmi nilizozipata : Mgao wa Umeme wa 16hrs per day upo karibu : Yale "mabwawa" yanakaribia kukauka!
..halafu tunaambiwa uchumi unakua ilhali nchi ipo gizani. tanzania kwa mazingaombwe lol

Wito wangu ni kwamba CHADEMA waweke bajeti ya taa za chemli na tochi za kutumika kwenye zoezi la uhesabuji wa kura endapo umeme utazima ghafla.
Ahsante Baba-Enock kwa kutuhabarisha

Wakizima umeme, wenye Video show za movie, mipira wanaonyesha Dr Slaa bure kwa generator. Ujumbe utafika. Kuna maeneo ya wazi watu waweke TV kubwa, mikoani nashauri hivyo hivyo, kama kuna uwezekano wa kuweka TV kubwa kwenye maeneo ya wazi mikoani wekeni hiyo kazi ya wagombea ubunge na udiwani kumobilize inshu.
na kwa bahati njema hawana remote control za generators. labda waamue kusitisha huduma za social halls at such time kwa hati za dharura.
Mende akitaka kufa hujubinua alale chali
 
Ipo kazi. Watu wanang'ang'ana kubaki madaraka kwa njia zozote ile.Aluta continua!!
 
Duh kweli umedhihirisha kuwa watanzania hawana akili maana mpaka watangaziwe ilhali uhalisi wanauona. Nimeipenda sana hii habari safi sana mkuu maana hata wewe unahisi tu kama wanavyohisi wengine Chadema watashinda Urahisi.
hisia zangu ndizo zilizoleta hii taarifa hapo chini. sasa wewe endelea kuota kuwa sisiemu itaendelea kuwepo juu ya uso wa nchi.

Kwa taarifa rasmi nilizozipata : Mgao wa Umeme wa 16hrs per day upo karibu : Yale "mabwawa" yanakaribia kukauka!
:thumb:
 
Niwatoe hofu wana Jamvi wapendao mageuzi, kura za huyu Slaa zinaibiwa sana lakini cha kushangaza haziishi, ukita kupata ukweli huu mwuulize mwakala yeyote wa chichiem kule KARATU kila wanapojua wamempiga chini jamaa anaibuka. Ondeeni mapema mbinu ya uwizi wa kura. sisiem mwaka huu mnakwenda benchi kama ifutavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom