Djunior
Member
- Sep 28, 2010
- 45
- 1
Hi, wanajamii.
Nimekuwa nikifikiria kwa siku nyingi, tokea Mwl. J.K.Nyerere atutoke, Mwl aliiacha nchi ikiwa na neema na upendo, hakuna ukabila wala ubaguzi. Kwanini sasa uharibifu unatokea kila kona? Je ndio kusema Mwl ameondoka na yake kwa nini basi viongozi wa leo wanadai wanayaendeleza aliyoyaacha Mwl. Tanzania ya leo sio ile ya Mwl.