Julian

Julian

Kibunago

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2008
Posts
300
Reaction score
122
Huyu ndg Julian Assange kwa kutamba ameendelea kumwaga taarifa za siri (classified information) kupitia mtandao wao wa Wikileak akidharau maonyo aliyopewa.

Je hatendi kosa? Ikumbukwe kuwa wala hawezi kulindwa na sheria ya Sweden iliko server yao maana Wikileak haina leseni ambayo ingewapa huo ulinzi tena si wa kila taarifa wanazotoa.

Chanzo: Vyombo vyote (vikubwa) vya habari vya Kimataifa
 
Back
Top Bottom