MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, Brown Ole Suye, amemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Ole Kone, kwa kuchochea mgogoro wa ardhi kwenye...
MHASIBU wa Mamlaka ya Maji Safi na Taka jijini Mwanza (Mwauwasa) Moses Ndaki ameripotiwa kutoroka kazini na kutokea upotevu wa Sh 370 milioni.
Habari za ndani kutoka katika mamlaka hiyo...
JINAMIZI la migomo vyuoni linaendelea, safari hii ni zamu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu cha Mkwawa (MUCE) mkoani Iringa ambao wanafunzi wake waliamua kugoma wakidai kucheleweshewa fedha za...
hivi mie nimechoka jamani kusoma jinsi watu wanavyoandika english vibaya tena sio fb tu. wanaumiza na vichwa maana mara nyingi inabidi ujipige kichwa wengi hata madakika mengi kuweza jua walitaka...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amekiri kuwa Chuo Kikuu cha Dodoma kina matatizo makubwa likiwemo suala la uongozi kwa baadhi ya vitengo.
Kutokana na kubaini hali hiyo, jana, Pinda alimuagiza...
Habari ya baadhi ya utajiri wa Mh. Chenge ulioibuliwa na gazeti maarufu nchini Uingereza The Guardians imewashitua watu wengi wakiwemo cabinet members wenzake. Maneno mengi yataongewa sana lakini...
Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara
Na Gladness Mboma
SERIKALI wilayani Mbarali imewapongeza baadhi ya viongozi wa dini kwa kuzima jaribio la kutaka kuuawa kwa mwekezaji wa shamba la...
Baada ya mahakama ya usuluhishi wa biashara ya kimataifa kuipa ushindi kampuni ya Dowans dhidhi ya TANESCO katika shauri lao la madai na kuamuru malipo ya zaidi ya bilioni 100 (94bn za ngeleja na...
Wadau, nimekuwa nikijiuliza mwenendo wa hizi Radio station mbili ambazo huwa nazisikiliza kwa vipindi vyao maalumu. Nimeshituka kumsikia Regina Mwalekwa akiwa na Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi...
Jamani naomba wenye uzoefu na hii mifuko ya pensheni hasa PPF,NSSF na LAPF atueleze au afanye analytical comparison kati ya hii mifuko.imekua ni kawaida sana kwa wale wanaoajiriwa kwa mara ya kwa...
Kijana mmoja anayesoma katika chuo cha kimoja kilichopo huko maeneo ya Uwanja wa ndege alipata dhahama inayotia uchungu sana maeneo ya Posta.
Mkasa wenyewe ulianza hivi:
Kijana huyo alikuwa...
Siku ya jumapili ya tarehe 16 January kwenye kipindi chenu cha matukio yaliyojiri Arusha kati ya wanaharakati wa Chama cha Chadema na polisi kwenye kipindi chenu kwenye TV ya TBC 1 ni uchakachuaji...
Wakuu jana nilikuwa na marafiki zangu wakurya ktk story 2kaongelea vurugu za a town yani nilichoka wananimbia kwanza isingeisha cku 1 nakwakuwa polic waliua bac ungekuwa ugomvi wakudumu kila...
Im thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ ..NIMECHOKA .
Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama...
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, amesema tatizo la matumizi mabaya ya fedha za halmashauri limechangia kudhoofisha utoaji wa huduma na kupunguza kasi ya maendeleo nchini.
Kauli hiyo...
Wikiendi hii nilikwenda Silversands Hotel na hali niliyoikuta huko inasikitisha sana. Majengo yamechakaa mno na sikuona dalili za kuwa kuna wageni wanaolala pale, sehemu inayofanya kazi ni bar...
Ndugu wana jf wenzangu naangalia mawaidha ya fisadi wetu lowasa wakati wa uzinduzi wa studio ya wasanii wa tz. Anaendelea kusisitiza eti tz inaongoza kwa kuwa na amani ukilinganisha na majirani...