Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamii sikilizeni njia panda jumapili hii yule dada aliyekwenda loliondo kaenda kupima tayari ngoma baada ya kutoka kwa babu ana siku 28 mpk sasa anashuhudia uponyaji jumapili anasema mpk vidoa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WanaJF, wengi tangu mwanzo tumesema kuhusu ushirikina unaoendelea kwa babu. Kwa dalili za wazi za ushirikina(mbinu za kichawi)huo soma hapa.... Kuna kuoteshwa na Mungu hapa???????????????????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama sikosei KKKT Makao makuu chini ya Dk Alex Malasusa haijatoa tamko la Kuunga mkono au kupinga tiba itolewayo na Mchungaji Mwaisapile. Nafikiri uamuzi huu ni wa busara na hii pengine nikatika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
"The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, But because of the silence of good people!"- Napoleon. It is a high time a very able Tanzanian to give his views openly so...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Mpenzi msomaji, bila shaka ungali unatafakari mada ya wiki iliyopita iliyohoji ‘kwanini nazaa watoto wa kike watupu, wakwe wananidharau?’ na endapo utakuwa na maoni yoyote usisite kuwasilisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari; Nimesikitishwa na taarifa iliyotolewa na ITV kuwa lile gari lililokua limebeba wagonjwa kutoka moshi(lililotolewa na MH ndesamburo) kwenda semunge kwa babu lilmerudishwa kwa kua ati si...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya tena kwa wale wakazi wa Samunge huu ndio wakati wa kujinafasi Airtel has launched a site in your area! piga sh 1 kwasaa 24 kwa wale wakazi wa Loliondo hakuna tena shida ya mawasiliano ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Aprili 6, 2011, ameungana na mamia ya waombolezaji katika kumzika Katibu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Ukizungumzia Loliondo ,Kwa Babu, Semunge kisha ukaangalia afya za viongozi WETU wote kuanzia maDC,RC,Wabunge,Mawaziri,Top Five, na wengine wengine,TISS,IGP,PCCB na wengine na wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jana wananchi wengi wa dodoma tuliokusanyika nje ya ukumbi wa bunge tukisubiri kuingia ndani ya mjengo kutoa madukuduku yetu juu ya mswada wa kuunda katiba mpya ambao kimsingi unanuka madudu tupu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi, nimekaa kama ilivyo ID yangu nikaunganisha dot! Kama kwa miaka zaidi ya mitano serikali hii imeshindwa kutupa umeme wa uhakika hivi inaweza leo ikabeba jambo hili kubwa na nyeti katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wote tunaamini kua vijana ni nguvu kazi kwa taifa ila vijana hawa memberz wa group ya kwenye facebook ya " facebook9tliveshow " Wanatutia madoa vijana wenzao, group hii hawana jipya zaidi ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi. Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Naomba mnisaidie kujua kama taifa hili ni la watu wachache tu jamani?ona mustakabali wa katiba mpya unavyopelekwa kwa kukidhi mahitaji na utashi wa kundi fulani tu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWANINI katika maisha kuna watu wengine hawafanikiwa na wengine wanafanikiwa? Ni swali ambalo limekuwa likiumiza vichwa vya wengi. Wapo ambao wanawianisha mafanikio ya mtu na elimu, lakini hiyo...
0 Reactions
10 Replies
24K Views
Wananchi waliofurika katika mji wa Bunda wakiwa safarini kwenda kupata tiba huko Loilondo wanaandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya wakipinga utaratibu wa kupata vibali. Wananchi hao waliotoka maeneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpango wa Mwasapila kuhama Samunge Send to a friend Thursday, 07 April 2011 21:57 Abiria wakidandia lori eneo la Wasso wilayani Ngorongoro ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
watoa vikombe ambao mimi nawafahamu mpaka sasa ni hawa 1. pastor wa loliondo (muasisi wa tiba ya kikombe ) 2. kijana wa tarakea rombo kilimanjaro (wa pili) 3. kijana wa mianzini mabatini mbeya 4...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UVUTAJI wa bangi na madawa mengine yanayodaiwa kuwa ni ya kulevya, ni vitu vya kawaida katika viwanja vya Mwembe Yanga, tena karibu kabisa na kituo cha Polisi kilichoko katika viwanja hivyo. Hali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom