Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ambayo iliwafanya wanasiasa kukosa usingizi wakati wa mchakato wa kura za maoni kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, wameibuka tena mafichoni na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POLISI mkoani Arusha wamewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Rifle ikiwa na risasi 10 wilayani Longido. Uchunguzi wa awali uliofanywa na jeshi hilo mkoani hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja kwa jina Shija Buswega wilayani kahama mkoani shinyanga amejifungua watoto watano. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana mwanamke huyo alijifungua watoto hao kwa msaada wa mumewe tu...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Mikopo Elimu ya Juu: Kama tunachangia, basi hatuna deni | Gazeti la MwanaHalisi Mmekaona hako ka-adress, hebu kabofye uone utamu wake, but mind you ni kwa ajili ya wanafunzi tu walizulumiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), imetikiswa na pigo la kisheria baada ya kukumbana na hukumu ya kutakiwa kumlipa mfanyabiashara wa Dar es Salaam mamilioni ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
:angry:Tusaidieni wataalamu wa mipango miji na wahandisi, je ilikuwa sawa EPZ (EXPORT PROCESSING ZONES) kujengwa pale external/jirani na Mabibo hostel? km kweli tunampango wa kweli kupunguza road...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Neno la uzima 2010 nawajua walio wangu..haya ni maneno kutoka kwa bwana yesu je wewe uko wapi ...wapendwa katika bwana nawapongeza wote mlioshiriki katika mijadala mbali mbali jamvini kwa wale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa mawazo. Nimefanya kazi kwa muda mrefu na mwajiri wangu huyu wa sasa. Hivi karibuni nikapata wazo la kwenda nssf kuangalia michango ambayo kwa mujibu wa salary slip...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
POLISI jijini Dar es Salaam inawashikilia watu watatu akiwemo mmoja ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 60 jela, wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliopora silaha ya askari. Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KATIKA hali yakushangaza jana washitakiwa watatu katika kesi ya unyanga’nyi wa kutumia silaha, wamefanya kioja cha kufungia mwaka kwa kuchukua maamuzi ya kuvua nguo kupinga hukumu iliyotolewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imepewa jukumu la kusimamia kuhakiki kumbi zilizopo jijini Dar es Salaam, ambazo hazijasajiliwa zitafungiwa. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lilitoa tamko hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mengine yanatembelewa na watu wengi sana, wanachangia na kutoa hoja mbalimbali, mengine hayatembelewi na hayachangiwe. Je wewe unapenda kutembelea na kuchangia majukwaa yepi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uganda. Kwa Museveni. Dah! Maza anaitwa Faridah. Mumewe yuko selo. Omar Awadh Omar Ishu ya mabomu ya kombe la dunia. Mumewe ni 'mwanaharakati' Mwanaharakati wa al-Qaeda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NOVEMBA 5 mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilimtangaza Dk Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mshindi wa kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 31. Kutangazwa huko kuliashiria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NILIPOKUWA namsikiliza na kumwangalia Rais Jakaya Kikwete akilihutubia bunge mara baada ya kushika wadhifa huo, Novemba 18, mwaka huu sikutegemea lolote la ajabu lakini ghafla utulivu wangu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UKURASA mpya umeandikwa katika vyombo vya aamuzi kwa ongezeko la vijana wawakilishi, tofauti na chaguzi za awali. Kupata wabunge vijana wa kuchaguliwa takribani 15 (CCM (4), CHADEMA (8)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ALHAMISI, Desemba 9, mwaka huu, Watanganyika tuliadhimisha kumbukumbu ya miaka 49 ya uhuru wa nchi yetu Tanganyika ambayo kwa sasa haipo katika ramani ya uso wa dunia. Zilikuwa sherehe za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Msingi wa mgawanyiko wa udini Tanzania ulijengwa kwenye ilani ya CCM mwaka 2005? chairman wa CCM asitafute mchawi wa chanzo cha mgawanyiko wa udini Tanzania. sijui km nipo sahihi wana jamii nisaidieni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumbe laptop tunazotangaziwa nikanyabwoya!!unatakiwa ukafungue akaunti katika benk ya ABC Bank then upeleke mshahara wako uwe unapita pale ili wakukate makato ya kompyuta utakayokuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo waziri wa uvuvi na mifugo alitembelea soko la samaki la kimataifa la ferry maeneo ya Kigamboni na kuwalalamikia wakaanga samaki kuwa harufu na moshi wa samaki unamkera sana maana unawanyima...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom