Sikiliza njia panda jumapili 10th april 2011 clouds fm

howard

Senior Member
Feb 21, 2011
188
28
Wanajamii sikilizeni njia panda jumapili hii yule dada aliyekwenda loliondo kaenda kupima tayari ngoma baada ya kutoka kwa babu ana siku 28 mpk sasa anashuhudia uponyaji jumapili anasema mpk vidoa vyeusi vyote mwilini kwisha habari yake na ana ngozi soft kweli, aliwahi kuhojiwa akaambiwa akipima arudi tena pale, anarudi sasa ndio mtajua mnaobeza dawa ya babu humu, msiopona mna yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom