Waenda Loiliondo wanaandamana Bunda

Waenda Loiliondo wanaandamana Bunda

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
282
Wananchi waliofurika katika mji wa Bunda wakiwa safarini kwenda kupata tiba huko Loilondo wanaandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya wakipinga utaratibu wa kupata vibali. Wananchi hao waliotoka maeneo mbalimbali kanda ya ziwa wanalalamikia rushwa iliyokithiri katika utoaji wa vibari vya kwenda Samunge.Wanadai magari yanayopewa vibali ni ya matajiri wa Bunda na kuwaacha waliotoka maeneo mengine wakisota.
 
Nami nimepata hii breaking news kwa mtu wangu wa karibu alieko Hapo Bunda, nae anaelekea Loliondo, amesota leo siku ya 3, bdo yupo hapohapo Bunda..
 
Back
Top Bottom