Afadhali KKKT Makao Makuu iendelee Kukaa Kimya suala la Loliondo

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Kama sikosei KKKT Makao makuu chini ya Dk Alex Malasusa haijatoa tamko la Kuunga mkono au kupinga tiba itolewayo na Mchungaji Mwaisapile. Nafikiri uamuzi huu ni wa busara na hii pengine nikatika kujiridhisha kuwa jambo hili linaukweli kwa kiasi gani. Ni kweli kuwa Mungu hana mipaka na anaweza kufanya au kumtumia mtu yeyote ili kudhihirisha ukuu wake, hata hivyo nafikiri sio vibaya kuthibitisha shuhuda ambazo zinatolewa na wale ambao wameshatumia kikombe hicho. Pengine kiroho sio vizuri kupinga lakini katika uhalisia ni vizuri kujiridhisha maana uwezekano wakufanya hivyo upo.

Mimi binafsi nimekutana na watu kadhaa ambao wamekuwa wakishuhudia kuwa wamepata nafuu baada ya kunywa kikombe hicho hata hivyo nahisi moyoni mwangu bado niko na shauku ya kuthibitisha ushuhuda huo. Nafikiri sio dhambi kwani hata bwana yesu alipofufuka kuna baadhi ya wanafunzi walikuwa na shaka baada ya kumuona Bwana yesu amesimama mbele yao, hili halikumfanya yesu asiwaambie waguse makovu waone alama za misumari na mkuki, alipofanya hivyo aliwatoa shaka waliokuwa nayo. Nafikiri hili ndilo linalofanywa na KKKT makao makuu maana kama sikosei waliounga mkono kwa mikono miwili dawa ya mchungaji mwaisapile ni KKKT Dayosisi ya Kaskazini inayoongozwa na Askofu Laizer. KKKT makao makuu isitie neno kwenye hili mpaka itakapojiridhisha kuwa hao waliokuwa na matatizo ya kweli wamepona Hii inamaana kubwa sana mbele ya safari.
 
Mimi nafikiri kukaa kimya kwa sasa hakusaidii ,walitakiwa waweke sawa mapema! kimya maana yake ni kwamba hujui kinachoendelea au hutaki kushiriki aun umekubaliana.
Kutokana na mamlaka ya kanisa kiimani kukaa kimya hadi sasa inamaanisha kuwa KKKT IMEBARIKI KAZI INAYOFANYWA NA BABU !KAMA WALIVYOFANYA MAASKOFU WA KASKAZINI ,KATI,NI MAKETE(MATAMBA)
Hii ni changamoto kubwa ya kanisa pengine kuliko wakati wowote kwa sababu ikitokea waumini wengine wakasema nao wameoteshwa kanisa litasimamam wapi .Tunajua dunia imejaa wasanii' kanisa linajiweka katika mizani gani ya kuwatambua!Au kanisa litambue tiba/uganga wa kienyeji, kinyume na mafundisho yake ya zamani.
 
KKKT linaundwa organization structure ambayo huanzia mtaa, mitaa kadhaa huunda usharika, and then sharika huunda jimbo, nad then majimbo huunda dayosisi, then dayosisi huunda KKKT makao makuu--

kwa muundo wake ni kwamba kila dayosisi ina katiba yake ambayo inaeleza jinsi inavyojiongoza na kuendesha mambo yake na hii inafanya kila dayosisi kuwa na autonomy unaofanya makao makuu kutokuwa na mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya dayosisi.

Hivyo ukiaangalia suala la Babu wa Loliondo liko chini ya dayosisi ya mkoani arusha au kazkazini kati na ndio ambayo limeashatoa tamko kukubali tiba hiyo na kumuunga mkono

Kwa hiyo sidhani kama kkkt makao makuu limekaa kumya kwa aidha kutokubaliana au kukubaliana na tiba hiyo.

nawasilisha
 
Nikweli
 
Ndugu lipo dayosisi ya kaskazini kijiografia tu wala sio kiimani ,katiba zote zinaongozwa na bibilia na imani ya ulutheri ,Kanisa lisipokuwa makini litaumbuka au litakuja umbuka
 
The whole issue is so tricky! Kuwapo kwa shuhuda kadhaa za wanaopona na wasiopona kwa pamoja kunaleta ugumu wa kipekee kufikia tamati kuhusu tiba hiyo.
 
KKKT linaundwa organization structure ambayo huanzia mtaa, mitaa kadhaa huunda usharika, and then sharika huunda jimbo, nad then majimbo huunda dayosisi, then dayosisi huunda KKKT makao makuu--

kwa muundo wake ni kwamba kila dayosisi ina katiba yake ambayo inaeleza jinsi inavyojiongoza na kuendesha mambo yake na hii inafanya kila dayosisi kuwa na autonomy unaofanya makao makuu kutokuwa na mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya dayosisi.

Hivyo ukiaangalia suala la Babu wa Loliondo liko chini ya dayosisi ya mkoani arusha au kazkazini kati na ndio ambayo limeashatoa tamko kukubali tiba hiyo na kumuunga mkono

Kwa hiyo sidhani kama kkkt makao makuu limekaa kumya kwa aidha kutokubaliana au kukubaliana na tiba hiyo.

nawasilisha

Ni kweli muundo wa KKKT ndivyo ulivyo na mambo kama haya ndiyo unaweza kuona ukweli wa kilio cha Waziri mkuu mstaafu F. Sumaye kuhusu kero ya muundo wa KKKT, Kwani inapotokea mambo makubwa kama haya ambayo sauti ya KKKT makao makuu ingehitajika, hilo haliwezekani kwani kutokana na muundo ulivyo Askofu Mkuu wa KKKT Hana nguvu mbele ya maaskofu wa Dayosisi.
Nafikiri imefika mahali KKKT ikajichunguza na kujaribu kurekebisha muundo wake vinginevyo huko tuendeko shida inaweza kutokea.
 
kauli ya mwana haimzuii baba kukatashauri,ipi yenye nguvu kauli ya makao makuu au ya kaskazini?
 
wala hawana sababu ya kusema chochote juu ya tiba hii kama vile wasivyo na sababu ya kusema chochote kwa ajili ya waganga wengine zaidi ya kuhubiri injili ya kristo na kuiweka nuru ya neno la Bwana kuangaza ili iweze kuokoa roho zilizopotea dhambini. sana sana wa kutafakari upya ni hao akina laizer wa kaskazini kati walioamua kuunga mkono uganga huu na kutenga kiasi cha sh. 100m zilizopaswa kelekezwa katika kuhubiri injili kwa makusudi ya kuwezesha uganga huu. sijui watajibu nini mbele za Mungu

Mungu na atuhurumie
 
Mis Judith, I think we should treat that dawa as common herb as panadol, for those who goes for a cupful do so on their own free will, no one drags them on a chain and send them to Loliondo

Besides, this herbsman or retired clergy, has never invited or advertised his concotions beyond the sonjo tribe, he further prefers his simple life undisturbed, if those people wouldn't be making the great trek to Loliondo, he would still be bent on his chair giving out cups to the needy in the neighbourhood

Personnaly, I don't want to associate his dawa with something evil as long as its certified to be fit for human consumption, nor do I view it as God sent , but I view it as any other medicine I would take at any pharmacy or big hospital

I have watched fascinated how certain people who have branded themselves mighty names 'mtume na nabii ndege (apostle ndege ), Mzee wa upako, mzee wa ufufuo...c'mon! Why can't people just be as humble as Babu or mwl mwakasege who doesn't buy world shortlived glory?

Its how well we live our lives that counts at the end of the day..beware of those who blow their own trumpets till their 'mashavus' are bursting..I abhor big displays of self made saviors of the last days....I would reaLly like if we are serving God then act Godly and abstain from flashy displays

I Know how this discussion feels to different people but for me, I would rather not judge, let the babu be.. And let those over 18 out of own will attend there for a glimpse of uponyaji, the rest of us doubting thomases we shall use our preffered hospitals and most importantly our all knowing God...ni hayo tu...sorry Judy we differ a bit here...
 
dear madam Nsiande,

there is no need to say sorry. i understand that so many people have inclined themselves towards the retired clergy and some others take a neutral position as it appear safer and logical in their minds. only a few of us are courageously questioning the whole episode with a biblical point of view in regard to the fundamentals of Christianity such as Theology, Christology, Ecclesiology, and pneumatology.

i agree with your idear that we should treat the loliondo herbal medicine in similar ways as we do for panadol and the like. my big problem comes after the powers and mysteries behind the herbalist and his discoveries. Frankly speaking, if he didn't claim any Christological connection with his medicines, i would had taken him just as any other traditional medical practitioners as a just and fair status for him. as matters unfold, it is easier to take him as a herbalist than an evangelist as he dispenses medicine with an intention to cure the body and not the heart. Jesus came to save the heart and salvation is achieved only when one believes in his/her heart and confesses that Jesus is the Lord and not by drinking magical herbs.

as you well know, salvation is not the case at loliondo. people are just paying tsh. 500/-, taking a cup, pour its contents into their mouths, turn around and finally, go. its finished! whether the heart is sick or well, the samunge chapter doesn't care! surely, our God Almighty doesn't act in this way!

sister, i beg to differ with you in the point that we should leave him alone. as committed Christians, we should not attempt to leave him as we love him and all others who queue for the kikombe in an attempt to cure their physical bodies. we must tell them the truth and admonish them to live by the word of God and serve only one God. remember this is a commandment for all christians, to go all over the world and make disciples of all nations, teaching them to obey all that the Lord taught while He was on the earth.

i am just giving out my own views and i remain so grateful for all the contributors to this discussion as we are all benefiting in several ways.

thanks dear sister mhandisi Nsiande

by the way, where were you? i missed you so much!

stay blessed
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom