Msaada wana jf

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport.
 
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport.

Ipeleke habari hii katika jukwaa la sayansi na teknolojia ndio utapata msaada zaidi. Au unaweza kutafuta post inayofanana na post yako, ziko post kama hii ambazo tayari zimepatiwa ufumbuzi
 
Back
Top Bottom