Madudu mengine mkuu wa mkoa Arusha

HisiaZAkweli

Member
Nov 2, 2010
36
8
Habari;
Nimesikitishwa na taarifa iliyotolewa na ITV kuwa lile gari lililokua limebeba wagonjwa kutoka moshi(lililotolewa na MH ndesamburo) kwenda semunge kwa babu lilmerudishwa kwa kua ati si la kubeba abiria.
Mamlaka iliyo chini ya mkuu wa mkoa inadai lile gari si la kubeba abiria bali wanyama japo lina vibali vyote vya kubeba watalii nchi nzima na kwenda popote.

Cha kushangaza walirudi makawao Moshi kwa kutumia gari HILOx2 bila bugudha???
je suala ni gari? au nani katoa huo msaada ndo kikwazo???
 
Inasikitisha sana unapomkatili MTZ mwenzio mwenye shida nying na magonjwa amabyo serikali imeshindwa toa huduma inayotakikana asipate huduma mabayo ninyi kila siku mwatumia VX za walipa kodi na mafuta yao kwenda kupata TIBA
 
kadri wanavyofanya visa ndivyo wanavyoimarisha upinzani na hasira dhidi yao
 
sio hiyo tu, last week walimkatalia kupeleka Loliondo misaada ya kibinadamu (dawa, maji na vyakula) kwa Helikopta kwa sababu ya ki...(neno baya) kabisa!!! RC alimaanisha watalii ndio wanyama!!
 
ndio tatizo lakua na viongozi wazee,wanakosa ubunifu sometimes,wazungu wanaendanalo serengeti na sehemu zote za kitalii,nikimaanisha mbugani.wanafunzi wa mweka wanayatumia hayo magari kwa shughuli zao zote za utafiti.wajeshi wa jkt wanatumia malori tena yasiyo na viti kwa shughuli zao zakilasiku,sasa huyu mzee shirima anaweza kutupa sababu za msingi kwanini kalizuia hilo gari?au kuna utofauti kati ya wazungu na waswahili?au ni siasa,tujuzwe jamani.
 
Hapa mi nasikitika sana,kama halikuruhusiwa kubeba abiria kwa nini halikuwekwa polisi bali likabariki safari ya kurudi makwao? Je barabara nzima hawakukutana na trafiki polisi wa kuwazuia ili wasiendelee kuvunja sheria kwa kuendelea na safari ya kurudi nyumbani! Huu ni ujangiri wa Rc!
 
nadhani MBUNGE HUYO WA CHADEMA ataweleta kwa chopa yake kwa hasira ila wananchi waone nani ni wao na kipi ni chama chao
 
Habari;
Nimesikitishwa na taarifa iliyotolewa na ITV kuwa lile gari lililokua limebeba wagonjwa kutoka moshi(lililotolewa na MH ndesamburo) kwenda semunge kwa babu lilmerudishwa kwa kua ati si la kubeba abiria.
Mamlaka iliyo chini ya mkuu wa mkoa inadai lile gari si la kubeba abiria bali wanyama japo lina vibali vyote vya kubeba watalii nchi nzima na kwenda popote.

Cha kushangaza walirudi makawao Moshi kwa kutumia gari HILOx2 bila bugudha???
je suala ni gari? au nani katoa huo msaada ndo kikwazo???

Furahia tendo lao hilo kwani ndio wanaimarisha ngome ya Ndesa wakidhani wanabomoa
 
Back
Top Bottom