Hivi serikali iliyoshindwa kutuma umeme itatupa Katiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi serikali iliyoshindwa kutuma umeme itatupa Katiba?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OgwaluMapesa, Apr 8, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi, nimekaa kama ilivyo ID yangu nikaunganisha dot! Kama kwa miaka zaidi ya mitano serikali hii imeshindwa kutupa umeme wa uhakika hivi inaweza leo ikabeba jambo hili kubwa na nyeti katika maisha yetu? Hamuoni ndiyo sababu ya kutoa mswada uliochakaa kifkra na usioonyesha nia ya kuwa na Katiba? Je, hamuoni kuendelea na majadiliano yao ni kutwanga maji kwenye kinu? Kwa nini tusianze sasa na nguvu ya umma? Pipoooz hapo mnaonaje?
   
Loading...