DC ngorongoro ana kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC ngorongoro ana kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiroroma, Apr 8, 2011.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ukizungumzia Loliondo ,Kwa Babu, Semunge kisha ukaangalia afya za viongozi WETU wote kuanzia maDC,RC,Wabunge,Mawaziri,Top Five, na wengine wengine,TISS,IGP,PCCB na wengine na wengine basi wote hao ni wageni wa DC wa Ngorongoro.Kazi yake kwa kipindi hiki siyo kujenga Taifa tena bali kujenga afya za viongozi wetu waendao Samunge kupata kikombe kwa Babu!!.Kila kukicha DC anapokea simu kibao nani anakuja LINI nani anatuma mkewe,shemejiye ,mama/BABA mkwe,shangazi,mjomba nk basi aweze ku take care yao!!! TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. BIG UP DC !!!!:A S clock:
   
Loading...