Tanzania ni ya watu wachache kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni ya watu wachache kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Najijua, Apr 8, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Naomba mnisaidie kujua kama taifa hili ni la watu wachache tu jamani?ona mustakabali wa katiba mpya unavyopelekwa kwa kukidhi mahitaji na utashi wa kundi fulani tu
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkuu tumeshatambua hilo ccm watavuna wanachokipanda sasa we subiri tu uone!
   
Loading...