Tutafakari madhara yatokanayo na mgawo wa umeme tanzania.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Heshima kwenu wana jamii forum.ndugu zangu nadhani umeme ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku kutokana na kukatika katika kwa umeme kumezua migogolo mingi sana mfano mimi ninafanya kazi zinazo tegemea umeme moja ya matatizo ambayo nimekuwa nikiyapata ni:- KESI ZA UCHELEWESHAJI WA KAZI ZA WATU.hii ni kutokana na ukweli kwamba ninaahidi kazi nitaikamilisha baada ya muda flani lakini kabla sijakamilisha kazi umeme unakatika bila taarifa matokeo yake unazua zogo. Naomba tujadiri madhara 1 NINAFANYA KAZI SIKU MOJA AMBAYO UMEME ULIWAKA PESA NINAYO IPATA SIKU HIYO INATUMIKA SIKU INAYOFUATA SIKU AMBAYO UMEME HAUPO 2 ONGEZEKO LA MADENI NK. Wewe je?
 
Back
Top Bottom