Mkwere kama vasco da gama..

Mkwere kama vasco da gama..

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Jamani nimeamka salama na nipo ktk daladala naenda kusaka tonge ,gari limeshona watu ,nyuso zimesinyaa,kope zimelegea ,watoto wa shule ya msingi ila wote wamejaa mvi kweli maisha yanatisha watu hawana matumaini...hii ndo tz nchi yenye rasimali,maliasili na amani ...inakera na kuudhi zaidi nikimkumbuka mkwere nadhani atakuwa na shida flani flani ktk brain yake ,haiwezekani wa-tz wanataabika huku mkuu wa nchi haonyeshi kujari ila anakuwa kama vasco da gama,kwa historia yangu ya shule ya msingi vasco alikuwa ni mreno aliyekuwa explorer na aliweza zunguka almost dunia yote,wapendwa napenda kuuliza hivi mkwere anajua kama wa-tz ni maskini ama?hv mkwere anajua kama wa-tz hatuoni tija za yeye kuwa vasco da gama ama?hv kikwete anatambua kama watz wamemchoka au la?
 
Nini Vasco? Kitu Marco Polo bob, yule msafiri Mwitaliano, naye alizunguka dunia yote, akafika hata Zanzibar. Tofauti ya mkwere na hawa, hawa walikuwa na malengo ya kutafiti dunia kwa faida ya mataifa yao, mkwere lengo lake ni kuleta vyandarua 1000.
 
Back
Top Bottom