''......hata kwa maeneo yaliyo mbali na viwanda vya sukari bei haiwezi kuzidi shilingi 1,700/= kwa kilo. Atakayeuza kwa bei kubwa zaidi ya hiyo anadhulumu,TAARIFA ZITOLEWE ILI HATUA KINIDHAMU NA KISHERIA ZICHUKULIWE, IKIWA NI PAMOJA NA UWEZEKANO WA KUFUTIWA LESENI YA BIASHARA''Hiyo ni kauli ya mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.Kuna tools za kichumi za kupandisha na kushusha bei ya bidhaa, kama nakumbuka vizuri, mheshimiwa ana Bachelors degree ya Economics, anatakiwa awe anafahamu haya.
1. Punguza Gharama za uzalishaji; Katika nchi isiyo na umeme wenyeviwanda wanategemea umeme mbadala, kwa kiasi kikubwa itakuwa ni diesel ambayo ni several times expensive kuliko umeme wa TANESCO...JK unasemaje kuhusu umeme wa uhakika.
2. Kodi: Mzalishaji mara zote atatumia bei kuhamisha mzigo wa kodi kwa mlaji, badala ya kuwatishia eti watachukuliwa hatua za kisheria, hebu punguza au futa kodi kwenye sukari afu uone kama bei haishuki, kama serikali haiko tayari kupoteza kwa kupunguza kodi kwa nini JK anaamini mzalishaji na mfanyabisahara watakua tayari kupoteza kwa kupunguza bei?
3: INFLATION FACTOR; production ya sukari inajumuisha vitu vingi, kama mfumuko wa bei (kwa vitu vyote ikiwepo labor) unaongezeka kila kukicha, kwa nini JK anategemea bei ya sukari itabaki pale pale? STOP THREATING SIR, INSTEAD CURB INFLATION!Mwisho: Bei ya vitu is to large extent dyanamic, if you know the dynamics behind the price, you know how to control it, if you don't then 'UTAISHIWA KUWATISHIA WATU ETI MSIPOUZA KWA 1,700 TUTAWADHIBU HIVI AU TUTAWAADHIBU VILE