MWEZI*UJAO; Agenda za Speech ya Mh Rais! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWEZI*UJAO; Agenda za Speech ya Mh Rais!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Mar 1, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida kwa Rais kuhutubia wananchi wake kila mwisho wa mwezi, tar 28 Rais alikua na agenda tano, mojawapo ilikua kupanda kwa bei ya sukari.


  Kutokana na spidi kubwa ya kupanda kwa bei ya maharage, ni wazi KUPANDA*KWA*BEI*YA*MAHARAGE itakua moja ya agenda mwisho wa mwezi huu.


  tumsaidie rais wetu, kama unajua agenda nyingine ya march please endeleza...............
   
Loading...