Precission air kuvalisha vitambaa vya gaun wanaume maanake nini??kioko angalia tena

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,949
22,118
Kwa kweli labda niulize aliemodify hii jezi ni nani kabla sijaelekea husika
jamani mlioona hizi jezi mpya n masikitko matupu kwanza naanaza kwa vitambaa mlivyochagua yaani ni bomu ovyo kabisa pili nakuja kwe hawa wanaume mnawapa makoti ya kike maanake nini jamani

Yani CEO angekuwa mtanzania ningeanza kujiuliza mara mbilimbili kuwavalisha wanaume vile anataka nini kwao..nashukuru ni mstaarabu lakini akuonyehswa nyc jezi jamani..hivi sijui nisemeje nawapenda ndio maana napenda muonekane mnapendeza..watau wanaongea sana haya majezi ya yanga yametoka wapi..yaani YANGA ingeendelea mbele nachukua wafanyakazi 15 wa precision swaafii ushindi huo..jamani kwa wanaume mmeshindwa kuangalia na kala yaani rangi umnamvalishaje mtu rangi koti ya kkijani suruali ya kijivu kama wako mererani ama kiraracha kwa mrema wanavuna kahawa
Hapana kwa hili mh kioko ningependa uangalie upya kuna watu wanashindwa kusema kuogopa

aijalaishi zimetokea nairobi ama wapi....
 
Mie nimeziona michuzi mbona siyo mbaya kihivyo CEO anasema wametengenezea Taiwan kwa thamani ya sh.milioni mia tatu
 
ndugu nashauri ziangalie live ..kama uamini uliza ma crew wenye wakibeba makoti kama wana beba magauni..koti ukishika kitambaa inajikuwa kama khanga..yaani very light material..CEO unawaaribia wanao soko ..soko la precission lilipanda sana kuliko watoto wa ATC lakini sasa nahisi inabdi tuangalie na 540 Kwa style hii..ile ya kwanza iliwapendeza sana sana nadhan muifikirie kabla ya kuwapelekea YATIMA..kwamba mmezichoka amziitaji tena
 
kazi ipo
 

Attachments

  • precission.jpg
    precission.jpg
    69.3 KB · Views: 79
nimwziona.....zinang'aa hizo kama gauni za mtoko

mwanangu zile usiku unaingia mkenge mwenyewe wanavyowaka..sasa manguo ya usiku anawavalisha vijana watanashati mchana mbaya nasema muwaone airport wanaume wanvyobeba hayo makoti yaani kitambaa kama kapewa bure na ATR company kwa kukodisha ndege nyingi kwao sidhan kama wamenunua million 300 kama wanarisiti wangekuwa Rwanda break ya kwanza CEO na procurement waliohusiksa wote weka ndan miezi 3 wakisubiri tuanze uchunguzi
 
yaani yawezekana ni hela zilizokuwa zikikaa zinasubiri watumiaji wa fasta...we angalia mwanaume anavaa suruali ya kijivu koti la kijani shati ya kijan tai ya njano..weeeeee hata wahanga wa Gongo la mboto awakubali msaaada kama huo
 
Back
Top Bottom