wana forum naendelea na utafiti wa kutaka kujua kwa nini bara la africa haliendelei, nikachek history nikakutana na ishu kua wazungu au european countries walikua na sheria ambazo zilikua zinazuia...
Tumekwisha pata mkurugenzi mwingine TBC (The recycled Mshana) anayembadili Tido kwenye chombo hicho cha habari za elektroniki (TV na Redio)
Cha kushangaza ni kwa upande wa magazeti ya Umma...
Akihojiwa na ch.10 jana usiku dr.slaa aliulizwa na kujibu kwa ufasaha mambo mengi sana mpaka mwongozaji(makwaiya) akamsifia sana na kumuuliza iwapo yeye(dr.slaa) anafanya sana utafiti kwa jinsi...
Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One...
huu mfuko wa NSSF kwa kweli umegeuka na kuwa kero sana,system zao ni mbovu na utendaji wao ni mbovu kwa ujumla..unakwenda kujisajili kwa ajili ya kukatwa makato ya mafao ya kiinua mgongo wakati wa...
Ughali wa maisha unaochangiwa na upandaji wa bei ya mafuta umeepelekea wananchi wa kenya na uganda kuandamana kushinikiza kupunguzwa kwa bei ya mafuta na vyakula. serikali ya kenya imekubali...
MKAZI wa kitongoji cha Sumbawanga ya Asili katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani hapa Moses Kayange (37) amefariki dunia baada ya kunywa paketi 25 za pombe kali aina ya 'Double punch' baada ya...
WATUMISHI 181 wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), wameajiriwa kinyume cha taratibu za ajira. Ajira hizo zisizofuata taratibu ndani ya shirika hilo, zimebaInika wakati wa ukaguzi wa Mdhibiti...
Jamani nimefatilia kwa umakini zaidi,kwamba vijana walitoa mapendekezo yao ya hela ya special faculty mbele ya waziri mkuu ambayo yalikuwa ni laki tatu na nusu,baada ya hapo waziri mkuu akawambia...
na Mwandishi wetu
MFANYABIASHARA anayedaiwa kuwa ni kinara wa biashara ya dawa za kulevya nchini, amenaswa na shehena ya dawa za kulevya aina ya Heroine na Cocaine.
Mfanyabiashara huyo...
Rachel Balama, Dar na Mwajuma Juma, Zanzibar
RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 3,060 katika kuadhimisha miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, mwaka huu, lakini...
By CARL ZIMMER
The Eastern Arc Mountains of Tanzania may not be terribly tall only half the height of their famous neighbor, Mount Kilimanjaro. But to scientists who tally the planets...
Haya tena jamani hatimae jipu limepasuka,baada ya Mzee wa ukweli na uwazi kupigwa chini sasa Clementi Mshana aula Ukurugenzi TBC
SOURSE CLOUDS FM JAHAZI
Kwa taarifa zinavyoripoti kwenye gazeti la Mwananchi, inaelekea baada ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutaka ripoti ya matumizi ya kiasi fulani cha fedha toka TANESCO na...
Huko India kuna nini? Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma huko mbona wanakutana na mikasa mingi ya kutisha? Kuna waliokufa katika mazingira ya kutatanisha, waliokamatwa kwa madawa ya kulevya...