clement mshana aula ukurugenzi TBC

clement mshana aula ukurugenzi TBC

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Haya tena jamani hatimae jipu limepasuka,baada ya Mzee wa ukweli na uwazi kupigwa chini sasa Clementi Mshana aula Ukurugenzi TBC

SOURSE CLOUDS FM JAHAZI
 
huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri...
 
huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri...
kwa jinsi ninavyo mfahamu tangu enzi hizo ni wale wale vibaraka walioletwa kuiuwa TBC ,Baada ya Mzee Mhando kuiweka ktkmazingira ya kujitegemea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom