Vifo, kesi za mauaji na kubakwa kwa wanafunzi wa Tanzania nchini India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifo, kesi za mauaji na kubakwa kwa wanafunzi wa Tanzania nchini India

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fareed, Apr 27, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huko India kuna nini? Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma huko mbona wanakutana na mikasa mingi ya kutisha? Kuna waliokufa katika mazingira ya kutatanisha, waliokamatwa kwa madawa ya kulevya, waliodhalilishwa kijinsia na kushitakiwa kwa mauaji.

  Hebu someni hizi links zifuatavyo muone mambo haya ya kusikitisha:


  • Tanzanian student arrested for murder in India

  Mizoram student killed during Football match; two Sudanese, one Tanzanian held - The Times of India

  • Female Tanzanian student molested, blackmailed in India

  East African held for molesting and extorting money from Tanzanian woman


  • Tanzanian student "kills" himself in India

  Tanzanian found dead in city - Times Of India


  • Medical student ragged and killed in Himachal

  Medical student ragged and killed in Himachal


  • Tanzanian student killed in road accident

  Tanzanian student killed in road accident - Worldnews.com


  • Tanzanians arrested for drug trafficking in India

  3 Tanzanians held with 20 kg heroin - Times Of India

  Pune rave party: Tanzanian national held - Times Of India

  The list goes on and on...
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  inatisha halafu ukiangalia majina ya wahusika wengi si ya kibantu
   
Loading...