Jamani Mhariri mkuu mtendaji wa Daily News (TSN) naye atateuliwa lini?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Tumekwisha pata mkurugenzi mwingine TBC (The recycled Mshana) anayembadili Tido kwenye chombo hicho cha habari za elektroniki (TV na Redio)

Cha kushangaza ni kwa upande wa magazeti ya Umma (Daily News, Sunday News na Habari Leo) ambako hakuna mhariri mkuu aliyeteuliwa rasmi tangu mwaka 2008.

Kuna siri gani hapa? mbona wa TBC kateuliwa haraka? Na kwa nini basi wasimpe anayekaimu sasa kama watendaji wamekosekana?
 
Back
Top Bottom