Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Apr 27, 2011 #1 Jk ateua katibu mkuu na manaibu huku akimwaga rasmi Tido Mhando kwa kumchagua mkurugenzi mwingine.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,917 Apr 27, 2011 #2 Lete habari kamili nani kateuliwa?
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Apr 28, 2011 #3 maisha bora kwa kila mtz...............tido alikuwa mtz na walioteuliwa ni watz pia kwa hiyo kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtz inaendelea kutimia
maisha bora kwa kila mtz...............tido alikuwa mtz na walioteuliwa ni watz pia kwa hiyo kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtz inaendelea kutimia