Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Jan 6, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF, Kipindi cha Jahazi hivi karibuni tangu uchaguzi uanze kimekuwa kisiasa sana maana hakuna maada, hakuna wadau kupiga simu, hawana maada za maana kama radio zingine kama Radio One, TBC FM, EA radio na capital radio wao ni kupinga na kupinga.
  Nanukuu: Kupinga kuwa mtatiro asiseme kuhusu katiba?? na kumponda hii ni akili kweli??
  Pili Kusema katiba mpya wananchi hawahitaji kwa sasa, ya nini ili hali ile ya kale hawaijui?? Hii ni kero na kama kweli wana dhamira nzuri ruhusu watu wapige simu then mchambue kama RFA na Star TV wanavyofanya.


  Mimi binafsi sikifurahi tena kipindi cha clouds - JAHAZI
  NAPENDA sports extra kwa sasa.

  Wadau manasemaje hapo??
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  clouds have lost it kwenye kipindi cha kibonde... they thinks its funny, but its not

  Kibaya zaidi regina mwalekwa ameenda kujichimbia kaburi tu pale, her name and fame are sinking fast like a fishing boat

  there is a need to tune to other stations like i do brothers and sisters
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Wewe unasikiliza ya nini??Mimi nilisha waburn kwenye Radio zangu,Yanyumbani,Ya gari,Ya simu!!!
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hasa huyo Regina nadhani atampita Kibonde kwa kuongea utumbo..
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Jana wameitetea DOWANS bila aibu....nimempenda mchangiaji mmoja aliyewaambia MMENUNULIWA
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii redio mbao mbona mimi sisikilizi hata siku moja.... kuna habari zaidi ya celebrities ..., weekend bashes..., summer time..., bonanza..., promosheni na ujinga wa jahazi
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuajiriwa alipelekwa Dodoma mara baada ya uchaguzi kwenye ufunguzi wa Bunge, naona kuna alichopata huko na sasa anatafuta ubunge wa viti maalumu ili awe karibu na wazee kuwaburudisha!
   
 9. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wanajua kweli sheria wale au wanaongea maana ukizungumzia dowans unajua ilivyoanza na unaitetea wewe kama nani, WEKA HOJA MEZANI ruhusu simu zipigwe?? Pili Kibonde ndo ameishiwa kabisa maana anasema umeme kupanda sh 28 ni ndogo mno hajui wenzetu nchi jirani hata sh kumi wanaandamana na kupinga mpka kufa, Umeme ukipanda ina maana bidhaa zitapanda pia wenye viwanda wanaotumia unit 1200 kwa wiki je hiyo sh 28 huoni kama italeta madhara?? Tusifikirie sisi kama sisi tumejifungia kwenye AC na radio station tukaona ndo mwisho. Mwandishi wa habari ninavyojua wanareason na kupata hoja mbali mbali kutoka kwa wadau then wana discuss sasa wao na huyo regina bora arudi radio one tu.

  MUNGU IBARIKI TZ, NA MUNGU USIBARIKI WOTE WANOTETEA WEZI
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... sina cha kusema.... hii kali sana lazima ni save....kula tano yangu instantly
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Dah! Nimemsikia sugu. Kawachana kwa kweli na sijui wanajisikiaje
   
 12. A

  ALIBAALIO Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilisikitika zaidi pale Regina na kibonde walipokuwa wanasisitiza mitambo ya dowans iwashwe kana kwamba wametumwa na watu waipigie debe ili serikali inunue ile mitambo.inatia shaka uelewa wa watangazaji hawa sidhani kama wana uelewa na sheria zinazosimamia manunuzi ya serikali zinasemaje.waende kwanza wajielimishe na sheria za manunuzi ya umma hapa haijalishi sheria zenyewe zina mapungufu gani maana ndizo tulizo nazo kwa sasa.
   
 13. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35


  hivi nyinyi bado mnasikilizaga tu hicho kipindi, na hao wachambuzi?

  Duuh, poleni sana...sasa hao watangazaji wanajua nini?
   
 14. S

  Sendeu Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  real kipindi kinaboa hasa jana Regina alivyoanza kuponda maandamano ya Arusha bila kujua kuwa ni haki yao Chadema kuandamana na pia ilikuwa haiwahusu kuisemea kweli nilitune station nyingine ili kuondokana na ujinga waliokuwa wakiongea.
  uSHAURI WATAFUTE MBINU NYINGINE ZA KUENDESHA KIPINDI SIO MANENO YA KASHFA NA MAJUNGU YANAYOENDANA NA UNAFIKI/UNAA
   
 15. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tatizo la Kibonde anatumua umaarufu wake kuwadanganya watu, anafikiri watu bado wanaangalia majina, now days watu wanasikiliza hoja, anataka tuiwashe dowans wakati tumekatisha makataba tena makataba feki tumelipishwa mahela kibao je tukiwasha kuutumia wakIja wenyew wakadai tumetumia bila ruhusa tuwalipe tutakataa wakati serikali yetu kila mmoja anaijua kwa kukubali kukubali hovyo madeni feki
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kumbe nifanya uamuzi wa busara kutosikiliza hii redio me nipo wapo radio tu
   
 17. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kibonde mwili tu mkubwa na kichwa kama jiwe lakini hakuna kitu.
   
 18. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,362
  Likes Received: 8,489
  Trophy Points: 280
  hata mimi siku hiz hik kipinnd ckpend tena
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  bado unawasikiliza mataahira akina kibonde?........................utakuwa umeishiwa.....mimi niliacha tangu waliponunuliwa na mafisadi na kuwapotosha watz kuhusu upinzani.....hakika ni hamnazo kweli....hakika sijawahi tena kusikiliza clouds kwani hawana kipindi hata kimoja cha kuelimisha jamii...................tuwapuuze tuachane nao mbona kuna redio na tv nyingi sana makini?.....sijakosa chochote kwa kutoisikiliza clouds zaidi nimefaidi mengi kwenye redio zingine ambazo nilikuwa sizisikilizi

   
 20. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Acid, kuna siku nilifikiri kupost thread hapa kumwomba Regina Mwalekwa aombe kipindi kingine Clouds na achane na Kibonde otherwise tutahesabu akili zake ni sawa na za Kibonde. Tangu nilipowasikia wakishabikia maneno ya Warema kuwa hamna haja ya Katiba mpya kwa sababu wananchi hawajui ile ya zamani sijasikiliza tena Jahazi. napenda nimwambie Kibonde kuwa swala la kuwapa wananchi elimu ya Uraia sio la chadema wenyewe bali ni letu sote akiwemo yeye anayeropoka hovyo hapo Clouds.
   
Loading...