Why wa tz bado tupo kimya, kenya na uganda kimeeleweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why wa tz bado tupo kimya, kenya na uganda kimeeleweka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Apr 28, 2011.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ughali wa maisha unaochangiwa na upandaji wa bei ya mafuta umeepelekea wananchi wa kenya na uganda kuandamana kushinikiza kupunguzwa kwa bei ya mafuta na vyakula. serikali ya kenya imekubali kupunguza bei ya mafuta ya taa kutoka ksh.92 hadi ksh.90 kwa lita moja, hivyohivyo na kwa serikali ya uganda. ksh.92 ni sawa na tsh 920. leo hii wa tz tunauziwa lita moja ya mafuta ya taa kwa tsh 1700, petrol na diesel tsh2050 bado tupo kimya why?
   
 2. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  WaTz bado tunajivua magamba,subiri siku 90 ziishe utaona changes!
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Point of correction mkuu. Kwa exchange rate za leo, sh moja ya Kenya inanunuliwa kwa Tsh 18. So Ksh 92 ni sawa na Tsh 1656.

  Hata hivyo baada ya maandamano, wamepunguziwa bei ya petrol na diesel na sasa zinauzwa chini ya bei ya Tanzania (kwa Kenya ndio najua, sina uhakika na Uganda).
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hesabu za wapi hizo mkuu. 1ksh = 18TZS, kwa hiyo ksh.920 ni sawa na shilingi 1,656. Kwa hiyo bei ni ileile tu.
   
Loading...