Leo gazeti la MwanaHalisi ni fungakazi!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo gazeti la MwanaHalisi ni fungakazi!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Apr 27, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Leo gazeti la MwanaHalisi ni moto wa kuotea mbali!!!! Duh.. Mkapa....!
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Sasa mkuu si ungetoa dokezo zaidi?
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Weka basi habari yote mkuu!
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  tupe habari yote plz!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna nini kwa ufupi? Huku tunalipata baada ya siku tatu....tudondolee yaliyopo!!
   
 6. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  inawezekana huyu ni shareholder kwenye hilo gazeti, anafanya kazi ya marketing!
   
 7. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mwanahalisi haihitaji kutangazwa kwa GT, inajitangaza yenyewe. Ubaya wa aliweka mada anaweka mistari miwili isiyoeleweka kwetu, na kutofuatilia mada yake.
   
 8. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa kutinga Kisutu, kesi ya Prof Mahalu
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Linagawiwa bure?
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Tupe link, sina hela ya kulinunua.
   
 11. lwebugisa

  lwebugisa Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  mkuu umetuacha njia panda wengine tupo mikoani kupata magazeti mpaka baada siku mbili. ebu tupe japo muhitasri
   
 12. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa ufupi nikupe Heading:Mkapa kutinga Kortini kutoa ushaidi juu ya kesi ya Prof.Mahalu,
  -Amri ya hakimu Kisutu ni hatari hii ni ile ya kuwazuia waandishi kuripoti kesi ya Manji na Mengi.
  --Msekwa,Mukama wakili barua za Mafisadi haziandikiki,
  -Bahari beach ni mali ya Gaddafi kupitia kampuni LAICO,
  -CCM inacheza ngoma ya Chadema kwa kutekeleza yale yote yaliyonadiwa na Chadema mfano Chadema iliahidi kuleta katiba mpya ndani ya siku mia za mwanzo,Chadema iliahidi kuwashughulikia mafisadi kweli CCM imenza kutekeleza ilani ya Chadema.
  -Bakwata itakufa CCM ikifa.
  -Nape amepewa Rungu kulipa kisasi wale wote waliomvua uanachana wa UVCCM kisa Mkataba wakifasadi jengo la umoja wa vijana.wakamtosa kwenye kinyan'ganyilo cha ubunge Ubungo.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kuna uwezekano wa gazeti hili kufungiwa maana limekiuka na kuvunja katiba ya Tanzania
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  :amen:
   
 15. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Halijakiuka Katiba bali Wananchi ndio wamekiuka Katiba kukubali nchi kupotelea kwa wajanja wachache,Hivi tutakuja kuwaambia nini watoto wajukuu zetu juu ya urithi wao wa asili tutwawapa mashimo ya dhahabu,mbona kila kukicha Ardhi wanamilikishana wao tu nahsangaa kusikia kila wilaya ukuenda kuna ekali zaidi ya mia mbili za mawaziri ,makatibu wakuu,jamani kwanini binadamu tumekuwa na tamaa hivi,Watanzania tuamke kila mwenye data juu ya viongozi wetu kumiliki ardhi tupeane majina na ukubwa wa eneo analomiki na sehemu lilipo.
   
 16. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inavyoonyesha kesi ya Prof,Mahalu ilifunguliwa kwa kukomoana ama kuna mtu hakupata mgao wake kwani inaonyesha kila kitu kilifuatwa kwa mujibu wa taarifa za ushaidi kwa staili hii Mahalu atafungua Kesi ya madai ya kudhalilishwa na kulipwa mamilioni kisa watu hawakufanya kzai yao vilivyo.hii ndio Tanzania .
   
 17. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Msilizingatie gazeti hilo kwani linaongoza kwa kukiuka misingi ya uandishi wa habari. Mkitaka kuniamini someni cv ya mhariri wake. Pia, ili habari iwe habari kuna mambo ya msingi matatu ambayo yote mwanahalisi huwa linakiuka.

  1. Ni lazima kuwe na 5 Ws + H.

  2. Ni lazima maadili yote ya Newsworhness yazingatiwe.

  3. Ni lazima news elements zizingatiwe.

  Hayo yote kwa mwanahalisi hayazingatiwi kabisa. Zamani uandishi wa aina hiyo ulikuwa unaitwa yellow Journalism na umewahi kusababisha vita ya nchi kwa nchi.

  INASHANGAZA SANA KUONA GAZETI HILI BADO LINACHAPISHWA. NADHANI KUKIUKWA KWA MAADILI YA UONGOZI KATIKA NCHI KUNASABABISHA MAGAZETI KAMA HAYA KUDUMU.


  Nitaweza fafanua kama sijaeleweka.
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Al-Huda Je?
   
 19. M

  Mwamatandala Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inaonekana wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri na pia hauko huru kifikra.zaidi ya hapo inaonekana hata weledi wako ktk taaluma ya uandishi wa habari habari uliupata kwenye chuo feki.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Limevunjaje??
   
Loading...