Mgomo-informaics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo-informaics

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lubangojoshua, Apr 27, 2011.

 1. lubangojoshua

  lubangojoshua Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimefatilia kwa umakini zaidi,kwamba vijana walitoa mapendekezo yao ya hela ya special faculty mbele ya waziri mkuu ambayo yalikuwa ni laki tatu na nusu,baada ya hapo waziri mkuu akawambia kuwa bila komputa mtakuwa hamjafanya chochote na ikumbukwe udom ina andaliwa kuwa center ya it east afrika,ikapigwa hesabu ya haraka ikapendekezwa bei ya komputa kwa kila mwanafunzi waekana hela nyingi,waziri akauliza mko wangapi kwa haraha akajibiwa watu 1200,akasema kwasababu wana partinaship na ibm wanaweza pata komputa kwa bei nafuu so ikatolewa laki tano ikabaki laki tatu na nusu nazo ikawa shida kuzipata ,walipotishia kugoma wakaambiwa kuwa hela ipo na awali chuo kilisema hela hakuna,basi gafla majina yakaja kuwa hela ya special faculty ni 50000 kwa mwaka wa kwanza na pili,walivyoandamana kudai kajibu KUTOKA kwa waziri MKUU AMBAYE ALIWAHIDI KUWA ATALISHUGHULIKIA, wakasimamishwa kumi wanfunzi na leo wengine kumi na saba JUMLA WAMEENDA NYUMBANI WATU 27,na hawa wametolewa chuo kwa ajiri wanaongea sana,mpka sasa udom koleji ya informatics kuna mgomo wa kushinikiza management ya informatics na chuo kwa ujumla wenzao warudi na kesho ni siku ya pili mgomo huo unaendelea.
  kwa wanaojua data za hizi hela special faculty
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sisi enz zetu tulikuwa hatutishii nyau kama nyie watoto wa siku hzi, mnagoma siku2 ya tatu mnarudi class..oneshen msimamo vijana.
   
Loading...