Swali wana Jamii Forums. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali wana Jamii Forums.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Apr 26, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Je ni nini athari za kuwa mwanachama wa freemason?
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hutauona ufalme wa mbingu!
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Utakuwa mfuasi wa shetani miaka yako yote,kama mafisadi wa chama cha maupupu.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hata sijui :A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  hata we mpenzi wangu hujui? Unaonaje tukijiunga huko?
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Poa kipenzi si utanifundisha enhee:smile-big::smile-big:
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  tutajifunza tu, kwani kale kamchezo katamu kuna mtu alitufundisha?
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Hahhaha hata kale kamchezo bado sijaanza hope nako utanifundisha :A S-coffee::A S-coffee:
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Pesa kuwa mingi
   
 10. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  There is no such society called freemasons,it is just a myth and rumour.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Huo uvumi ni nani aliye uanzisha? Na kwa sababu ipi?
   
 12. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bwana sasa hivi dunia imechanganyikiwa bado yenyewe tu kuanza kuzunguuka kinyume kutoka mashariki kuelekea magharibi maana vikombe vimekua kibao kila mtu na waumini wake!
   
 13. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  unataka kuniambia Ambilikile Mwasapile naye ni masonic?
   
 14. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  inawezekana pia, hii ni 2011, 11 ni powerful year katika masonic calendar...tutegemee mengi mwaka huu mfano uprise uarabuni, vikombe (ambilikile) ambavyo hutozwa sh 500 ambayo inaalama ya nyoka ambayo pia ni masonic symbol...ni speculation tu...
   
 15. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mhuuuuu!!! Kuna watu humu!
  Nisipowasikia siku huwa haiendi poa! Unajua bwana hata kama nchi hatuna rais makini na mafisadi wanatuibia hadi tunakuwa kama chokoraa ktk nchi yetu wenyewe, nikikumbuka Watanzania hasa wana Jf huwa nijisikia kupata pumzi ya ziada.
  Nakuwa kama yule nabii Elia baada ya kuchoka sana na kujiona yuko peke yake , alitokewa na Malaika akamwambia jipe moyo maana ninao wtu kibao wasiompigia magoti Baali yaani/MAFISADI/ na Shetani.
   
 16. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naona kuna watu wametumwa kuwatangaza freemasons kiaina ili watu washawishike kujiunga nao.Good move!
   
 17. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hahaha! shetani hana nafasi humu JF. We are all great thinkers. Ila mie ni mshamba sujui Free mason ni kitu gani? i can hear eti fulani ndiye but siwezii kusema chochote kuhusu hao.
   
 18. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45

  Once you become a member, there is no turning back. Hebu chunguza kifo cha captain Morgan aliyeuwawa inasemekana na watu hao hao freemasons baada ya kutoa siri.
  Jesus is a better option. wala usijisumbue huko.
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Mormons wanasema Yesu ndiye mwanzilishi wa freemasons, hii je ina ukweli gani? Na nini uhusiano kati ya Mormorns, Ukristo na umasonic?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mi najua faida.
   
Loading...