Nilikua siijui jamii Forums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilikua siijui jamii Forums

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Surprise, Apr 15, 2011.

 1. S

  Surprise Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

  Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

  Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Karibu mpaka jikoni
   
 3. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Pius hanajifanya amjui adui wa chama chake?mzee amepotoka ucant avoid social netwok kwa maslai ya chama,inawezekana na yy yumo humu ila ndio hatumjui,makamu mkiti bado apange jinsi ya kukinusuru chama,anapambana na kivuri,kazi kwelikweli
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Hawapendi kuelezwa ukweli hao wamezoea ndio mzee !
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Karibu kijana.
   
 6. n

  nkosiyamakosini Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utauona tu uchokozi, we tulia tu! kila kibaya kila kizuri kina ubaya wake, thanks
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwanza hapa JF huwa tunakaribishana baada ya kupiga hodi...ndio silsila ya UTU & UUNGWANA.
  Hivyo kabla hujarukia kwenye yaliyokushinikiza kuja hapa JF...chonde bisha hodi maana BADO hujasoma posts zote kama usemavyo, hii ndio desturi ya uungwana popote duniani kubisha hodi nasi tutakukaribisha na utaendelea kujumuika na wadau hapa jamvini.
  Hivyo ninakukaribisha in advance kuwa 'KARIBU' na ndipo uendelee, waila tunaendelea na mada yako usikhofu.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Karibu ndugu tupo wengi sana humu, wa chama chetu! UKWELI UNAUMA SANA MKUU, CCM IMECHOKA!
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  km ulivoanza vizuri, jitahidi tu usiandike pumba coz utaiona JF chungu. karibu sana. Lakini mbona umekimbilia moja kwa moja jukwaa la siasa?? au mwenzetu na wewe MWACHIACHA!! natania tu.
   
 10. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani huyo msekwa ni nani hata aseme kwa ajili ya ccm?
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hajui asemalo huyo mzee...Anaona ameikomoa JF kumbe ndo anaipandisha machati!!
  Karibu sana Kiongozi!
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu, hata hivyo tunamshukuru msekwa kwa kuitangaza jf yetu!
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  You are most welcome. Hapa tunajimwaga kwa uhuru wetu.
   
 14. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Karibu sana Jf.
   
 15. S

  Surprise Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapigia hodi wapi?
   
 16. M

  Mama PC Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Karibu sana JF ili kupata habari za ukweli na uhakika
   
 17. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu karibu sana, tuendeleze mapambano ya ukombozi wa taifa letu
   
 18. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Za huko utokako?
   
 19. S

  Surprise Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni kwa kunikaribisha, sehemu gani nzuri za kujivinjari humu?
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Chama cha Mafisadi wanatapatapa
   
Loading...