Usaili Jeshi la Polisi; Msailiwa anatakiwa kwenda na elfu kumi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usaili Jeshi la Polisi; Msailiwa anatakiwa kwenda na elfu kumi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Apr 17, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani tumezoea kusikia vituko vingi kuhusu Jeshi letu la polisi na namna wanavyo-make pesa kila wanapopata nafasi, sasa sikia hii, Jeshi na polisi walitangaza nafasi za kazi mwezi January, last week wamewapigia shortlisted candidates ili waende kurasini katika chuo chao kwa ajili ya interview, hii itafanyika tarehe 19 April 2011.

  Sasa kituko hiki, Jamaa alipoga simu anawaambia waenda na
  1.Vyeti Origino - hii kawaida
  2.Picha - hii kawaida
  3.Pesa, Elfu kumi - mh hapa polisi mko offside, hawa si wanatafuta hela ndo maana wakaomba kazi, sasa iweje tena mnawaambia walete hela? wenyewe wanadai eti ni kwa ajili ya vipimo, aaah mi nnavojua vipimo si ni baada ya kupass interview tena gharama huwa inabebwa na Mwajiri? hey police, tuambieni hii ndo nini?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  huo ni ufisadi mwingine!utakuta ofisa wa polisi kishaongea na mtu wa dispensary wagawane pesa!serikali kila kitu dili.
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mi ndio maana ya kwanza nakutana na hii, sijawahi kusikia mahali pengine popote eti unaitwa kwenye usaili unaambiwa uende na sh 10,000 za checkup

  Hivi nikitaka kufatilia hii niende wapi? maana ukienda huko huko polisi lazima utachakachuliwa
   
Loading...