Yuko wapi antony diallo na lau masha waliokua wabunge wa ilemela na nyamagana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi antony diallo na lau masha waliokua wabunge wa ilemela na nyamagana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MWANANCHI WA MZ, Apr 16, 2011.

 1. M

  MWANANCHI WA MZ Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maana hawasikiki kabisa
   
 2. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Diallo tumia kipindi cha rfa kiitwacho search line utampata
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Lau Masha karudi kwenye Law Firm yake pale Dar

  Anthony Diallo anaown Radio Station & TV Station Mwanza kama sikosei inaitwa Sahara
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wapo hoi Loliondo
   
 5. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  ktk hotuba zake hayati mwl j k Nyerere alisherehesha kwa nini CCM kibaki kuwa ni cha wakulima na wafanyakazi. tafsiri ya kauli hii niliipita pale HILO LI DIALLO( Mfanyabiashara) lilipoteuliwa kuwa waziri wa maliasili na utalii, likakurupuka kuzuia uchomaji na uuzaji mkaa, bila kuandaa mbadala wake. MATOKEA YA TENDO HILO NI MKAA KUADIMIKA NA UKIPATIKANA NI BEI MARA 5 ZAIDI YA AWALI. toka hapo hadi hii leo wakazi wa DAR mkaa kwao ni kama tunu, kutoka 5000/= hadi 45000/= kwa sasa . HAKUNA WAZIRI ALIYEPITA AMBAYE SINTOMSAHAU KAMA HUYO ANTHONY DIALLO. HOVYO KABISA HILO JITU.
   
Loading...