Biashara ya utumwa wa Wahindi YASHAMIRI Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya utumwa wa Wahindi YASHAMIRI Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by stratex, Apr 17, 2011.

 1. stratex

  stratex Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata taarifa za kuaminika kwamba kuna wahindi wengi wanaingizwa nchini kutoka India kutumika kama watumwa. Wahindi hawa wanarundikwa kwenye majengo (kama mazao yaliotoka shamba) kabla ya kusambazwa kwenye viwanda vingi vilivyo sehemu mabli mbali nchini, ikiwemo Bagamoyo.

  Katika mmoja ya uvamizi wa majengo haya, polisi walikuta wahindi zaidi ya 50 kwenye chumba kimoja, hakina madirisha wala taa. Walioingi humo kwanza hawakuamini lile JOTO ZITO zililotoka kwenye hicho chumba.

  Watumwa hawa hutumika kwenye viwanda mbali mbali kufanyishwa kazi "BILA MALIPO", kwani wengi hukaa kwenye viwanda hata miezi 6 na zaidi kabla yakutolewa USIKU kuzungushwa mjini (kutalii) na kisha kurudushwa tena kwenye viwanda na kuendelea na kazo hizo. Kwenye hivyo viwanda wanapewa chakula, mavazi na sehemu za kulala. Lakini mazingira hayo haya ridhishi kwa mwanadamu yeyote kuishi.

  Sikuweza kupata maelezo ya kutosha ni kina nani wanaendesha hii biashara.

  Lakini serikali inafahamu hili sana, swali ni kwamba je serikali ya JMT inalishugulikia ipasavyo?
  Serikali inalishugulikia hili swala kwa SIRI sana, kwani ni jambo ambalo halikubaliki hata kidogo duniani hasa kwa nchi za ulaya zinazo toa misaada nchini.
  Serikali haitaki hata kuhusihsa vyombo vya habari katika "operation" zake dhidi ya biashara hii. Kuna uwezekano baadhi ya viongozi wa serikali na wazito kadhaa nchini wanajihusisha na biashara hii.

  Kuna tetesi kwamba kuna wafanyabiashara wa kihindi WAKUBWA ambao wanashugulika kuleta watumwa hawa nchini (kwa kugharamikia safari nzima) kisha kuwauza kwa wahindi wenzao hapa nchini kwa lengo la kupata faida.

  Biashara hii inaonekana kushamiri baada ya wahindi kuona gharama kubwa ya kuajiri wazawa (watanzania) kufanya kazi hizi. kwani wazawa wengi wameanza kujua haki zao za msingi , na pale wanapo nyanyaswa hasa kwa matusi na kwa kupigwa, huwa wana chukua hatua za kisheria au huchukua sheria "mkononi".
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Du nimepita siku moja mitaa ya Changombe Road Pale Veta ,mida ya asubuhi nilikuta lundo [Gang] la wahindi wengi walivyo inatia shaka. Manake wale wahindi wetu tunajuana nao walivyo lakini hawa ukiwaona tu utastuka[weusi dizaini na sura kimtindo zile ambazo tumezoea kuziona CNN huko Bangladesh.]. manake ndugu zao hawa ambao ni wenzetu kwa maneno ni wazuri kwa kupenda cheap labour.Uenda wamewaibukia kuja kuwatumikisha hapa bongo.
   
 3. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanastahili, Wahindi ni kupe! na hawana nia njema na Tanzania zaidi ya kuchuma na kuishia zao Kanada. Ni kawaida yao kubanana kwenye vi appartment kama kondoo. Hawataki kutuachia chochote wakati wanapotimkia kwingine.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  hii mihindi inadharau kweli yani. huwga wanajiona kuwa wapo juu ya mablack. lakini ni chok mbaya vibaya sana
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Licha ya wahindi, je wasomali hamuwaoni? Bongo tambarare, nzuri sana. Sasa hivi hata kariakoo kuna maduka ya wasomali hata kiswahili hawajui kazi yao ni kupokea pesa tu basi makalimani ni mmatumbi wa bongo! Je uhamiaji wanayajua haya au ndo ya yale yale funika kombe mwana haramu apite huku vigogo wakinufaika na biashara hizi!
   
 6. Miss X

  Miss X Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jamani kaka zangu hii ni kweli kabisa, Kuna siku nilikuwa na toka Tanga na naenda Dar , nilishududia wahindi kama nne hivi wakisafirishwa na basi la bembea kutoka tanga kuja dar, sikuamini macho yangu, wengi ni wageni hawana hata pasi za kusafiria, hawajui hata kiingereza wala kiswahili ila sio wote wanaotoka india, wengi ni bangladesh na pakistani.
   
 7. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa ni kwamba hawatarudi kwao na watazidi kuwa mzigo kwa taifa hili, wakimalizana nao ujue wataingia mtaani na population yao kuzidi kuongezeka. hawatarudi kwa sababu hata nauli watakuwa hawana, na it's not in the best interest za hao ndugu zao kuwarudisha, na kwao ni maskini kupindukia. Lakini yote hayo uhamiaji wanajua kazi yao kula rushwa tu wakisaidiana na CCM!
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ukistaajabu ya mussa utaona ya firauni tembelea sun flag na Sunkist arusha au ngck utawakuta wengi tu hakuna udhibiti wa wageni nchi hii ole wetu huko tuendako
   
 9. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Indians are d cheapest pple in d world followed by chinese.
   
 10. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo ndio wanaidadi kubwa sana ya watu baada ya China.
   
Loading...