Tabora: Ccm wanafanya mkutano wa hadhara leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabora: Ccm wanafanya mkutano wa hadhara leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Apr 17, 2011.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora mjini wako katika maandalizi ya mkutano wa hadhara jirani na zilipo ofisi za ccm wilaya.Kuna tetesi kuwa mkutano huo lengo lake ni kujaribu kusafisha hali ya hewa, kufuatia mkutano cdm wa jana. tuko karibu kuwaupdate nini kitajiri katika mkutano huo.
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145


  tunakusubiri mkuu
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ok jitahidi mtupe update hizo
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  There are currently 0 users browsing this thread. (0 members and 0 guests)
  heheheee
  hawa kina nnape na makamba si wameteuliwa wakaagizwa kuwa walete watu huku? sasa iweje wanashindwa kazi?
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wameshindwa kwa vile wana CCM wengi hawana IT skills na wameishiwa uwezo wa kujibu hoja
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wanataka kujibu hoja za jana za cdm?
   
 7. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Sasa hivi ni saa tano na nusu asbh, mkutano haujaanza viti vitupu. Mafuso yamepotea ghafla hapa mjini cjui yako wapi. Kinachoendelea ni burudani za muziki wa disco na vikundi vya ngoma asili. watoto ndio wapo wanakata viuno vya kufa mtu.Taifa la kesho linaridhishwa muziki na ccm.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  chama kinaendeshwa kama kundi la wacheza pool table ndo madhara yake hayo..yaani hakina strategy kabisa
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  hivyo vitoto bado si havijaingia shule za kata n a kupigika huko? vikishaingia huko na kutoka ndio tutaanza kuvihesabia, au vikipigwa na foleni kwa mda ma masaa elfu ishirini

   
 10. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dr Slaa atawatesa sana ccm mwaka huu. Huo mkutano wa jana ni kiboko, slaa aliwarudishia gamba lao waliojivua juzi.
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Du! Hakika CDM kinawaendesha puta ccm!
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahahahaha,nape amerudi kucheza ngoma ya cdm
   
 13. H

  Haika JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Je sisi wana JF ambao tunatamani kusikia habari kutoka kwa wandani wa CCM ambazo hazijachujwa na vyombo vya habari, ambao huwa tunapata habari humu, tunafungua thread ipi?
  manake leo ndo nilitegemea nipate habari muhimu, humu, baada ya CDM kupumzika mikutano, basi tusikie habari za mikutano ya vyama vingine mfano CCM
   
Loading...