Ccm wafunika manzese alasiri hii!

Lilombe

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
242
39
Mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM yafanya muda huu Uwanja wa Bahresa Manzese, kama kawaida vikundi vya wasainii wakiongozwa na TOT wanaburudisha.
Nape ni star wa mchezo anatoa burudani na TOT
Mapokezi ya kufa mtu yatakuwa jioni hii huku Lumumba.
 
Je, polisi hawajapata habari za kiinteligensia kwamba kutakuwa na uvunjivu wa amani na usalama wa wananchi?
 
Manzese na Lumumba wanatafuta nini, kwa nini wasiende Jangwani ili tupime nguvu zao?
 
Vipi somba somba ya watu ikoje maana najua lazima coaster zisombe watu toka sehemu mbalimbali.
 
Wajau tena chama kimezaliwa tena hivyo wanachama wamefika kwa hiari wakiwa na sare za kijani na nyeusi; raha tupu hapa manzese, hizo nisalamu tosha kwa CDM jimboni Ubungo. Jangwani itakuwa siku maalum, leo ni mapokezi tu! Timu ya ushindi imetimia CCM sasa ni mkao wa kula tu. MSEKWA AMESEMA CCM IMEZALIWA UPYA ANAFANANISHA MAPOKEZI YA LEO KAMA YA MWAKA 1977 WAKITOKEA ZANZIBAR BAADA YA KUZALIWA CCM KWA MARA YA KWANZA
 
Vipi kuna wengine watavuliwa magamba huko? Chadema wanatoa list ya wanaotakiwa kuvuliwa magamba huko Tabora leo tunaomba CCM ijibu mapigo huko manzese kwa kuwavua hao mafisadi magamba.
 
hakuna lolote,,,nimepita hapo manzese mda sio mrefu...idadi ya watu ni ya kawaida tu,,.ccm wamepaki mashangingi yao, na siku hizi wana hadi scania semi trella la kupigia nyimbo zao,, but soo far, haitishi kiivo sana,,,ts jst normal
 
Tuna ushahidi wa kutosha nchi za nje zinafadhili wapinzania ili vyama vilivyokaa madarakani kwa muda mrefu katika nchi zetu zianguke katika uchaguzi; Namnukuu Msekwa anatoa live Manzese
 
ahahahah sasa ndo muda wao wa kubwabwaja watoe mambo yao ya kashfa na kujifagilia kuwa wanavua gamba joka lililozeeka bado litarudi kuwa joka na meno yake yaliyo zeeka pia
 
Hakuna jipya??? Mbna kla cku ni hayo hayo tu????
Tuna ushahidi wa kutosha nchi za nje zinafadhili wapinzania ili vyama vilivyokaa madarakani kwa muda mrefu katika nchi zetu zianguke katika uchaguzi; Namnukuu Msekwa anatoa live Manzese
 
Mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM yafanya muda huu Uwanja wa Bahresa Manzese, kama kawaida vikundi vya wasainii wakiongozwa na TOT wanaburudisha.
Nape ni star wa mchezo anatoa burudani na TOT
Mapokezi ya kufa mtu yatakuwa jioni hii huku Lumumba.

Vipi Nape Kiduku anaiweza? Leo uwezo wake kisiasa siulizi.
 
hahahahahahaha!!!!! wakitoka hapo kuishangilia ccm wanapigwa tena na foleni tena sio mbali hapo ubungo tu sasa si ni wehu huu?
 
Tuna ushahidi wa kutosha nchi za nje zinafadhili wapinzania ili vyama vilivyokaa madarakani kwa muda mrefu katika nchi zetu zianguke katika uchaguzi; Namnukuu Msekwa anatoa live Manzese

Msekwa! Msekwa! Hajaongea lolote juu ya Getrude Mongella?

Chukuwa tahadhari maana isije kuwa ni tatizo la senility.
 
Kama kawaida watu wamefata bendi. watu wa manzese nao kwa kupenda music... ni noma. yani wanaweza wafanya jamaa wakahisi ni mashabiki kumbe wamefata mziki na wale wakwapuaji nao wako kazini.....
 
ok NA MSEKWA ATAMKE NI KWA NINI ALIMNYANG'ANYA MTESIGWA MALI ZOTE HAPA MZA.
PIA AWEKE WAZI KUHUSIKA KWAKE NA MELI KWA UBIA NA MZUNGU CLAUS.
 
Hongera CCM kwa kuzaliwa upya. Bila Shaka Mnyika amepata habari za Manzese akaze boot vinginevyo matokeo ya uchaguzi yakifutwa atarudi Manzese kwa miguu. Slaa nae na majina ya mafisadi anasumbuka CCM imemzidi kete.
 
Back
Top Bottom