Ya roliondo na hatima ya tanzania

mbinayamaswa

Member
Feb 26, 2011
9
0
Mwana JF tafakari hili:Itakuwaje BABU wa Loliondo atoweke gafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa ,NDUGU WANANCHI NIMEAMUA KUKIMBIA MAANA NIMEGUNDUA HII DAWA NI SUMU NA HUUA BAADA YA MWAKA 1,wanangu 3 wamekufa kwa kuwa wao ndio walikuwa wa kwanza kuwafanyia majaribio, kweli walipona lakini baada ya mwaka mmoja wamekufa wote kwa mkupuo, bora nikaliwe na SIMBA KUliko kipigo cha wananchi,
unafikili dunia itafanya nini? hili tunalitarajia hapo baadaye kutokana na MATABIBU kuwa wengi. Tafakari chukua hatua .
 
..........Jamani hivi hapa JF kuna watu kama nyinyi..........kama una cha kupost kaa kimya na soma post na comments za wenzako si dhambi...huu upuuzi unashusha hadhi ya JF..Huu ni umbea na fikra za hadithi za kuzimu ni za kuzungumzwa na watu wa vijiweni sio hapa..
 
Kweli mungu alimuumba mwandamu siku ya mwisho kwani vilivyoumbwa kabla ya hapo havina mabadiliko makubwa ya tabia/sifa e.g. Maji, Mwanga, Usiku, n.k. Lakini binadamu wapo warefu na wafupi, wembamba na wanene, wenye hekima na wasiokuwa na hekima kama mbinayamaswa a,k,a jina la kisukuma
 
Back
Top Bottom