Wanawake wawili wafia nyumba za kulala wageni Dar es Salaam

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wanawake wawili wamefariki dunia wakiwa katika nyumba mbili tofauti za kulala wageni jijini Dar es Salaam. katika tukio la kwanza maiti ya mwanamke mmoja anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 imekutwa katika nyumba ya kulala wageni ya Mako, iliyoko Mwananyamala, chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika mwili wa marehemu, ulikutwa hauna nguo wala jeraha lolote. Tukio lingine maiti ya mwanamke anayekadiriwa kuwa na miaka 25. imekutwa katika nyumba ya kulala wageni ya Mti Mmoja, maeneo ya Sinza, maiti ikiwa aina nguo pembeni kulikuwa na matapishi ya mabaki ya chips na vipande vya nyama ya kuku. marehemu alifika kwenye nyumba hiyo akiwa na mwanaume.
SOURCE: Mwananchi Aprili 16, 2011
 
Mkuu hii guest si ndo kuna mwanafunzi alifia humo mapema mwaka huu?
 
mmmh haya, wataleta mambo ya ushirikina sasa ivi....labda ni vifo tu au dozi zilizidi hatujui....tupe taarifa zaidi
 
EE Mungu ni mambo gani haya, na sisi akina mama tuchukue tahadhari sasa. La sivyo tutakwisha.
 
Hii ni tabia ya serial killer, jamani wenye guest houses jaribuni kuwaangalia vyema hao wanaoingia na mabinti wenye age group hiyo (23 - 28).

Huyo ameshaona raha na kuzoea kuua ila iko siku atakamatwa tu. Tungekuwa na psychological profilers wangeweza kurahisisha kazi hii.
 
jamani mbona hivi vifo vya wadada kwenye ma guest house vinatisha, not again, RIP in peace marehemu, something must be done about this
 
I'm very sorry for what is happening nowadays but let me say that 'we are harvesting what we sow',tubadilike!
 
Inaelekea kuna SERIAL KILLER anawalenga hawa wasichana wa umri huo.....watch out you she25s
 
Back
Top Bottom