Mahakama nchini misri yakifuta chama cha mubaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama nchini misri yakifuta chama cha mubaraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Apr 16, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mahakama nchini Misri imefikia hatua ya kukifuta chama cha aliyekuwa rais wa misri Hosni mubatak,mubaraka alikua kiongoz wa chama hicho ambacho kiliasisiwa na hayat Anwar Sadatt-bbc
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya bwana, kila kitu kina mwisho wake, udikteta umefikia ukingoni. Bado huku kwa wamatumbi ndo hatujajua umuhimu wa kutenda haki!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yatafika tu haya hata tz we waache wajinasibu na kijivua magamba
   
Loading...