Tv sibuka kuonyesha mechi za ligi ya uingereza na ujerumani live! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tv sibuka kuonyesha mechi za ligi ya uingereza na ujerumani live!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jackalikumtima, Apr 16, 2011.

 1. j

  jackalikumtima Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kituo cha televisheni cha Sibuka kinachorusha matangazo yake kupitia Startimes kitakuwa kinarusha live mechi zilizobakia za Barclays Premiere League, UEFA na Bundasliga!! Habari hizo za uhakika zinatokana na mipango ya muda mrefu ya Kituo hicho kuwaburudisha na kuwapa wanacho kipenda watazamaji wake.

  Wiki iliyopita walionyesha mechi mechi za Bundasliga pia wiki hii wameonyesha mechi za robo fainali za UEFA. Leo tusubiri, tuone Mechi za ligi ya Uingereza.
   
 2. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Habri njema hiyo kwa wapenzi wa mpira wanaotumia king'amuzi cha startimes
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja niishi kwa matumaini kama Watanzania wengine!! Nakwenda kununua hicho king'amuzi chao angalau nione kama nitaona mechi ya Man U ikicheza na City leo!!
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Asaaaante! :)
   
 5. M

  Mkorosai Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona walisitisha vipindi vya dini lakini? They will be blessed if they continue to be attached with Religions hasa wakimtumainia Yesu kristo|
   
 6. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Du, habari njema sana hizi.
   
 7. j

  jackalikumtima Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Westham United 1 Chelsea 3, dakika ya 74 na mechi inaendelea. Asante sana TV Sibuka
   
 8. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  umekosea ndugu ni West Brom 1 Chelsea 3 na mpira umemalizika. Unasibuuuka ati?
   
 9. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,162
  Likes Received: 3,385
  Trophy Points: 280
  Sibuka mwish naangalia man u na man cty now, sijui wamepata wapi hk kibali.
   
 10. j

  jackalikumtima Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TV Sibuka wako juu!
   
 11. m

  mankind Senior Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  sibuka ndo kila kitu kitu cha man u na man city sa hivi.WWWYKI
   
 12. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Man City 1 Man United 0, city wako 11 uwanjani united wako 10 baada ya Scholes kulimwa kadi nyekundu!!! Sasa ni dakika ya 77 na mechi inaendelea kwenye TV sibuka
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii sio mechi ya ligi bosi, hii ni FA na jamaa sijaona kama kaorodhesha FA
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mi nilijua mbwembwe zako tu, dah asante sana itabidi tufanye mpango wa sibuka
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Bukoba hapa Sibuka hatuijui huku, loh! aya bwana sie tunaijua Sibuka FM ya Maswa - Shinyanga
   
 16. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama Sibuka TV wataendelea hivi, watakuwa ndio jibu la kiu zetu. Hongera Sibuka!
   
Loading...