Sipati channel za ITV kwenye Easy TV

Sipati channel za ITV kwenye Easy TV

Mkodoleaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2008
Posts
458
Reaction score
138
Jamani sipati TV channels za ITV, CAPITAL na EATV kutoka kwenye king'amuzi cha Easy TV, je kuna mtu yeyote mwenye msaada/taarifa?
 
Kuna fundi wao anaitwa Andrew nimewasiliana nae mchana ameniambia wana tatizo la signal hata uuzaji wa ving'amuzi wamesitisha mpaka wiki ijayo.
 
Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi.
 
Huyu Jamaa anaulizia EASY TV na sio START TIMES we sio mtu makini na ndio maana humuelewi Dk wa Ukweli SLAA
 
Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi.

Mjepu mbona umerukia mada bila kuielewa hapa tunazungumzia easy tv ya long time 2007 we unazungumzia Star Times vitu viwili tofauti.
 
Mwambie Andrew awache urongo star times hawana ITV kwenye channel list yao, ukiona watu wanapata ITV huwa wanachakachua na huo ni ufisadi.

tehetehetehetehe, huku ni zaid ya kukurupuka maana swali hulijui na jibu pia hulijui.
 
Back
Top Bottom