Chenge, Lowassa na Rostam Aziz ni wamiliki wa PCCB? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chenge, Lowassa na Rostam Aziz ni wamiliki wa PCCB?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Apr 24, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Kama CCM imeona Chenge, Lowassa na Rostam Aziz kuwa ni mafisadi, wala rushwa na waliojipatia mali kwa njia za wizi, je Takukuru wanangoja nini kuwaburuza mahakamani watu hawa? Au hawa vinara wa ufisadi ndio wamiliki wenyewe wa Takukuru?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kikwete ndio kinga ya hawa jamaa. Hosea alipo hojiwa na Wikileaks alikiri kuwa Kikwete ndio kikwazo kikubwa cha mafisadi kufikishwa mahakamani.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,227
  Trophy Points: 280
  CCM ndio imeshikilia dola. CCM ni chama cha kuwalinda mafisadi, kinafanya kila mbinu na jitihada ili mafisadi wasifikishwe mahakamani.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,227
  Trophy Points: 280
  Hosea skendo yake ya wikileaks iliishaje?
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ile ilikuwa kweli sasa mkuu wa kaya anaogopa kivuli chake imebidi akae kimya kama hakusikia vile!!
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  vile vijisenti vya new jersey chenge alisema sio vyake ni vya NGO . Je hiyo NGO iko wapi. Inashangaza kuona story ya vijisenti imesahaulika

  Kama sio chenge kuziweka zile pesa za kifisadi kwa niaba ya "CCM" basi aliziweka kwa niaaba ya "wakuu fulani." Kama zingekuwa ni zake binafsi tungeona japo sinema na maigizo kama yaliyowakuta kina mramba.
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280

  Nashangaa toka PCCB imeanzishwa hadi leo ina nini cha kujivunia. Hivi hizi taasisi zinafanyiwa evaluation kweli? nini kigezo cha kuzifanya ziendelee kuwepo kama haziperform kwa ufanisi na zinapokuwa zimeshindwa kabisa kufanya kazi zilizokusudiwa?
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hawa wakikamatwa ncho itayumba ---- alisema PInda
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu watu wanaogopa kukisema ila kuna cindicate imeshawekwa mapema sana kulindana serikali....bros wamekaa tayari kusaidia DG PcccB,DCI,DPP wote hao wanalindana maana wamewekwa strategically....ilibakia usalama na mwanasheria mkuu(alitolewa kashfa) nae alikuwa bro......JK analijua hilo pia hawezi kuwagusa!!!
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni system, hebu mpe Dr Slaa nchi, mwachie TAKUKURU hiyo hiyo a-deal na mafisadi!
   
Loading...