Mkurugenzi-jwt foreigner!!??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi-jwt foreigner!!???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sweetdada, Apr 22, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  salamuni ziwafikie wote


  jamani nimetoka kuangalia taarifa ya habari ya michezo ITV imeonyesha vodacom wamefanya shuffle dance..moja ya watu waliohojiwa alikuwa ni foreigner wa kizungu
  afu chini title yake ikaandikwa Mkurugenzi-JWT

  kwa uelewa wangu JWT ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania..kama kuna kampuni binafsi siifahamu na niko tayari kukosolewa..imenitatanisha sana,kwani iweje kuna mkurugenzi wa kigeni jeshini kwetu kwani hatuna watanzania wenye sifa za kuwa wakurugenzi jeshini? Au ni waandishi wetu kutokuwa makini na kazi zao?

  Nawasilisha
   
 2. S

  SURNAME Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu JWT ni tofauti na JWTZ,JWTZ ni jeshi la wanachi.
   
 3. c

  chetuntu R I P

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata mie sikuelewa kuhusu yule kibabu na JWT.
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hiyo JWT ni nini?
   
 5. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama ni kibabu basi hamna wasiwasi, kitajiishia tu muda si mrefu
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JWT ni kampuni ya Kenya ambayo ni wakala wa Matangazo ( advertising Agency) wanaosimamia matangazo yote ya Vodacom. JWT ni kifupi cha majina matatu ya wamiliki wa kampuni hiyo. Majina hayo siyakumbuki lakini hao ndio walionunua kampuni ya Scanad ambayo pia ilikuwa ni wakala wa matangazo wa Vodacom. Ofisi za JWT ziko mlimani city kwenye block la Executive mahala palipo na Ofisi za idara ya Makerting, corporate na Vodacom makao makuu.
   
 7. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx kwa ufafanuzi mkuu.
   
 8. lukenza

  lukenza Senior Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani tuwe makini tunaposoma vitu JWTZ ni tofauti na JWT kama ilivyo tofauti kati ya hizi no 800 na 8001
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hivi mtu hata kuandika title inakua shida jamani?? Tutafika kweli namna hii???:nerd::director::director::director:
   
 10. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Na pia jeshini hawatumii vyeo vya MKURUGENZI
   
 11. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Majina hayo ni john walter thomson. wanasimamia matangazo yote ya vodacom
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehehehehe Jf raha!.. kweli lakini
   
 13. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ukimaanisha nini?
   
 14. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante kwa ufafanuzi.ubarikiwe
   
 15. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Blah blah tu,kwa kushindwa kutofautisha kitu kidogo kama JWT na JWTZ sijui kama elimu yetu inatusaidia kweli sisi Watanganyika.
   
 16. regam

  regam JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aulizae anataka kufahamu. Nadhani sasa ameelewa!
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,505
  Likes Received: 19,921
  Trophy Points: 280
  si ndio maana kauliza? wewe mwenyewe ulikuwa hujui ndio umeelekezwa hapa hapa jf
   
 18. T

  Teko JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kweli,maana kuuliza sio ujinga,ni kutaka kujua! huwezi kuwa unajua kila kitu ktk hii dunia!
   
Loading...