Wamefanya kazi miaka 2, wameambulia elfu 40 tsh. Hii ni haki kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamefanya kazi miaka 2, wameambulia elfu 40 tsh. Hii ni haki kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, Apr 23, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wafanyakazi wa kampuni moja ya kupakua mizigo bandarin, ambayo ni wakala wa ticks, wameachishwa kazi leo na kuambulia kiinua mgongo cha sh. Elfu 40, wamefanya kazi kwa miaka zaidi ya 2 kama vibarua. Je hii ni haki kweli? Elfu 40, hata pango la nyumba halitoshi, hawa wote si wataenda kuwa vibaka tu. Kisa cha kuwafukuza kaz eti wanaiba makontena bandarin! Mhh cjui kama tutafika nchi ya ahadi, kwa staili hii.
  Source. Mliman tv - elimu kwanza
   
 2. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  maisha bora kwa kila mtanzania. magamba oyeee...
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Magamba ya kobe oyeeeeeeeeeeee
   
 4. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inasikitisha....kwa hali hiyo sijui kama tutafika...coz wanafukuzwa then wakikamatwa vibaka wanalazwa jela lkn tukiangalia upande wa pili wa shilingi,was it proved kuwa waliiba hayo makointena au ndo walifukuzwa kienyejienyeji tu?...
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hawa si vibarua tena kwani wameshafanya kazi kwa zaidi ya miezi 6.hebu waende pale CMA(kamisheni ya waamuzi na wasuluhishi) watasaidiwa kisheria watapata haki zao.
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Vibarua wanaiba makontena??????????????????????????????????????
  Wanayaficha wapi mpaka wanafanikiwa kutoka nayo getini?

  Kuna mtu amedanganya hapa...
   
Loading...