Nawezaje kupata contact za waziri mkuu

Nawezaje kupata contact za waziri mkuu

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
69
Wadau naomba mwenye kunisaidia kuweza kupata mawasiliano na waziri mkubwa anisaidie pls, shukrani wadau
 
wadau msaada wenu wahitajika nahitaji mawasiliano ya mheshimiwa waziri mkuu jamani pls
 
Naambiwa contacts zake mpaka ukanywe kikombe kwa Babu ndipo utakapoziona kwenye website ya ofisi yake, vinginevyo hazionekani.
 
unataka namba yake ya simu au? Coz kama ni ofisi zinafahamika zilipo kama ni p.o.box hta kwenye web ya pm utaipata
 
Wadau naomba mwenye kunisaidia kuweza kupata mawasiliano na waziri mkubwa anisaidie pls, shukrani wadau
Tumia kitabu cha orodha za simu (TTCL) utapata namna ya kuwasiliana naye.
 
Back
Top Bottom