Wakubwa JF
Nafikiri wote mnamfahamu yule Msomali wa Rostam Aziz aliyekataliwa na Kikwete asigombee ubunge wa Nzega, Hussein Bashe. Hivi sasa kapewa u- CEO wa kampuni ya magazeti ya Propaganda za akina RA na EL ya New Habari. Sasa kinachofanyika ni kwamba wafanyakazi wote wanakatwa kodi na michango ya mifuko ya pensheni, lakini haiwakilishwi inakopaswa.
Tokea amepewa wadhifa huo, wafanyakazi wengi wameacha kazi kutokana na staili yake ya uongozi ya Ki-El Shaabab, lakini wanapokwenda kwenye mifuko ya pensheni kuulizia mafao yao, hakuna kitu. Hii inaashiria pia kuwa hata fedha wanazokatwa kama kodi hazipelekwi Serikalini. Hadi leo, wafanyakazi wanadai mishahara ya miezi mitatu hadi minne, anadai kwamba hakuna fedha lakini kila siku anakwenda Nzega kutoa misaada ya mamilioni kwani bado ana ndoto za Ubunge licha ya kuwa ana uraia wa makaratasi. Hebu TRA fuatilieni hii kampuni nina hofu nayo kama kweli inalipa kodi stahiki