Udoso ya udom ni ufisadi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udoso ya udom ni ufisadi mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LWAKAPISI, Apr 24, 2011.

 1. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama uongozi wa Udom kitivo cha elimu hautakuwa makini ili linaweza zua mgogoro mkubwa.Serikali ya wanafunzi(udoso)wemetafuna pesa za students union Tsh mil.16 na ushahidi upo bayana.Hayo yaliielezwa na waziri wa fedha wa kitivo hicho katika kikao cha bunge kilichofanyika tarehe22.04 chuon hapo.Katika hali ya kushangaza waziri alisema kuna ubadhirifu wa zaidi ya mil16 ila ripoti ya orditors itatoka tarehe15.06.2011.Wabunge walikubaliana bunge lisivunjwe had muafaka wa pesa hizo ujulikane,na walikiri wao kushindwa kazi na kupitisha suala hilo lipelekwe kwa wanachuo ili peoples power ifanye kazi yake,kitu ambacho spika alikikubali kwa kulazimishwa.Baada ya pale aliingia rais wa kitivo hicho RUTA ili atoe ripoti ya shughuli za serikali yake kitu ambacho kwa katiba ya UDOSO ni kazi ya waziri mkuu,wabunge walipinga hilo lakini spika alisisitiza kuwa vifungu vinaruhusu bila kuvitaja.Ruta badala ya kazi hiyo yeye alitamka kuvunja bunge na kutoka nje.Siku hyo sa4 usku uliitishwa mkutano wa wanachuo wote,na mnamo sa7 usku walifikia uamuzi huu
  Jumatano tarehe27.04.2011 iwepo college baraza ili yafuatayo yakataliwe;
  1.Bunge kuvunjwa KIHUNI.
  2,Ruta,Baisi na spika waeleze walikozipeleka pesa za wanachuo.
  3.Kutaka fedha ya students union ipunguzwe kwani ni nyingi ndio maana viongozi wanaifanyia ufisadi.
  4,Kupinga gharama ya kuchukua fom za uongozi kwa viwango vya kufisad,urais wa shirikisho-75,000.urais wa college-50,000,ubunge 20,000
  Iwapo haya hayatapatiwa ufumbuzi kuanzia jumatano utakuwa ni mgomo mkubwa katika kitivo hicho cha elimu.Kwa hali halisi Raisi wa shirikisho bwana Baisi na rais wa kitivo cha elimu bwana Ruta ni bayana wamefanya ufisad ambao wanataka kutumia nguvu kuufunika kitu ambacho wanachuo wameapa kukipinga kwa nguvu zote.Kumbuka katika chuo hicho kitivo cha mawasiliano bado wapo kwenye mgomo ulioanza wiki hii mwanzoni.HIYO NDO UDOM AMBAYO CHAMA CHA MAGAMBA KINASEMA NI CHUO BORA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yaaani habar zenu zinatia kichefchef na hazina mashiko,KAMA WALIMU WENU AKINA MLACHA NI MAFISAD NA WANAFUNZ MTAKUAJE?
  nadhan hata wewe ukiwa udoso waweza kuiba tu,tumeyaona hayo DARUSO,kila anaeingia madarakan anataka kula,hata wakifanyiwa ukaguzi utaskia mamilion yamepotea.....ondoa maneno mbofmbof we mwananfunz
   
 3. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hueleweki au na wewe umetumwa?!ushindwe kwa jina la babu mwaisapile
   
Loading...