Augustino Mrema Ajadili Amani Mkoani Morogoro

Augustino Mrema Ajadili Amani Mkoani Morogoro

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro. Picha na John Nditi
 

Attachments

  • 04_11_2kj0q7.jpg
    04_11_2kj0q7.jpg
    61.5 KB · Views: 47
Back
Top Bottom