Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo...
Jamani kwa watu wa imani zote naombeni msaada wa maombi yenu. Miaka ya hivi karibuni kuna roho ya chuki mbaya imeibuka moyoni mwangu dhidi ya binaadamu mwenzangu.
Kabla ya Mkapa na kikwete...
Jamani hii biashara ya mikokoteni barabarani inakera sana
Kunasiku nilikwanguliwa gari yangu mpya na mkokoteni, na ilikuwa kwa makusudi mazima. huyo mwenye mkokoteni hata kukulipa hawezi...
Na unajisikiaje kutupa taka hovyo
Jana nimeshuhudia MJbaba mmoja yuko kwenye gari moja bomba kafungua dirisha karusha uchafu nje tena katikati ya barabara ya kinondoni
Hivi hatuwezi...
wiki iliyopita niliona report ya transparent international kuhusu rushwa nilihuzunika sana kuona Tanzania ina 28% ya rushwa, Kenya 32% na Rwanda 6.6% . Hivi raisi wetu amelogwa? mbona Tanzania...
Jana kwenye taarifa ya habari ya channel 10 kuna habari ya kusikitisha juu ya wananchi wa serengeti ambao wanapakana na hifadhi hiyo,Kundi kubwa la tembo limevamia na kuharibu ekari nyingi za...
isack newton alisema "we are where we r by standing on the shoulders of the giants" nakubali kwamba haya ninayoandika nimeyapata kutoka makala tofauti tofauti na nimechanganya na mawazo yangu...
Ijumaa iliopita Wajumbe wa baadhi ya Mitaa ya VIJIBWENI walikutana kujadili upanuzi huo,na jana walikuwa wanakagua mipaka bandari itakapoishia.
je program itakayo chukua muda gani mpaka kuhamisha...
Kuna kambi ya jeshi Chandamali inateketea kwa moto Songea...
moto ueanza kuwaka mida ya saa tano.. watu mlioko huko tujuzeni..
hali siyo swari mwenye data
Kiwanja hiki ni Makumbusho ya Azimio la Arusha, kipo Igogo Mwanza, UVCCM wanataka kubadili matumizi ya kiwanja hiki, kiwanja hiki kimejengwa, na wala sio mali ya CCM, kwani Azimio la Arusha...
ninapata wasiwasi na kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu hasa ninapojiuliza juu ya dhana ya ccm kujivua magamba. wasiwasi wangu ni jinsi gani hawa ccm waliweza kuishi na viumbe wenye magamba...
Ndugu zanguni hili lazima tuwaweke sawa hawa wahindi
kuna jamaa zangu wiki iliopita walikodisha ukumbi wakaomba na vinywaji ..kwenye makubaliano kulikuwa na koka kola gafla wakati wa shuguli...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kamsamba Wilaya ya Mbozi, Geofrey Christopher ( 22) kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji.
Jaji...
I always admire masoud wa kipanya for his philosophical approach towards tanzanian political environment. Leo tena katika gazeti la mwananchi, katuni yake nimeikubali mno! Angalieni mwananchi...
Embu tuchambue kwa undani bila biase,kwa kupiga kura tufahamu nani atakuwa KIFARU hawa jamaa wawili wakikaa kwenye TV au Radio kwa mahojiano ya moja kwa moja na wananchi wenzao wa Tanzania. PIGA...
Wakuu niko huko Tunduma kwa wiki sasa kibiashara wenyeji wamenitahadharisha kuwa kuna umafia mpya umeibuka hivi karibuni.
Wenyeji wanatabanaisha kuwa umeibuka umafia wa kutegesha burungutu la...
Naibu katibu mkuu wa uvccm bara bwa Mfaume kizito, akiongea na vyombo vya habari leo amesema, nanukuu " Chama cha mapinduzi kikitetereka, na tanzania ( Watanzania ) watatetereka " Mwisho wa...